Dar es Salaam ni jiji la wanafunzi Vilaza

Dar ni jiji ninalolielewa kuliko mji niliozaliwa(Moshi)
Ninaishi Sinza Kwaremi karibu na Shamo Hotel. Njoo hapa nikutembeze katika mji huu uone kile ninachokisema.

Sijajua ni wapi nisipopajua kwa hapa Dsm.
Huko Mbagala maeneo ambayo nimeishi ni Mtongani, hapo kuanzia kwa Chang'ombe pale DUCE, Uhasibu, kwa Azizi Ali mpaka Mbagala unapoishi napafahamu fika. Sio kwa kuhadithiwa au kupita na daladala bali kwa kutembea. Mpaka unatokea kongowe unaacha barabara ya Mkuranga unakata kushoro kuelekea Twangoma, Mwembe Mtengu mpaka unatokea Kigamboni. Bado unasema sipajui Dar?

Tena huko ni porini. Njoo hapa City Center posta, Upanga, Muhimbili, Kariakoo, Jangwani, huyu hapa mpaka magomeni, manzese, Ubungo, bado useme sipajui. Au nikupitishie Tandale mpaka sinza, kijitonyama, mwananyamala, makumbusho. Bado siijui haka kamji.
Au unataka Mwenge, Mbezi beach, Tegeta, Boko, Basi Haya, Bunju, unavuka Daraja huyo unatokea mapinga kwenye shule ya Baobao sekondari huku ni bagamoyo.

Bado Dar sipajui, Unataka njia ya Ubungo, Kimara, mbezi mwisho, Kibamba huyo unaacha Dsm unapokelewa na Kibaha.

Au ni Msasani, Masaki, na Ostabey.

Wanafunzi wa Dar ni wavivu wala hakuna kujitetea.

Hoja ya usafiri sio kweli.

Hayo mazingira nisiyoyajua ni yapi.
Kilongawima, bahari beach,ununio, machakani,masite,zoo, kwalugumi,silver huku vipi hujafika?
 
Ni
Usiwatetee. Mtoto anaamka saa moja anaenda shule gani.

Kuhusu magari usilaumu, ukiwa mwalimu nenda stend unakuta kitoto kimesimama tu magari yanapita hapandi. Kuna mida konda nafanya kuita nyie twendeni, utasikia tunangojea gari la muddi.

Kuhusu wazazi muulize mara ya mwisho kukagua madaftari au hata kufika shule kuulizia maendeleo ya mtoto ni lini.

Usitetee ujinga,

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekumbuka mbali sana!
 
Dar ni mahala penye starehe nyingi watoto wanawaza starehe na burudani pasipo kuwaza nini hatima ya maisha yao. Pia mifano isiyohai iko vichwani mwao
 
Mleta mada uko sahihi, nilishahapa mwanangu hatokuja kusoma shule zilizoko ukanda wa pwani. Wanafunzi hawana hali/ amu ya usomaji wapo wapo tu.
 
Maswali yote hayana maana, unajifanya kama umezaliwa leo.

Dsm hawana la ziada, kazi upuuzi tuu, kijana wa Dsm hana ujanja katika mambo ya msingi, wamekalia upuuzi tuu.

Ninaishi Sinza Njoo nikuthibitishie maneno yangu
Yote uliyoandika hayaendani na niliyouliza hata kwa asilimia1.3.

Jibu hayo maswali au ni kweli mada yako imejaa chuki, mitazamo hasi binafsi, ubaguzi na upotoshaji...?
 
Sio kwa sifuri hizo miaka miwili mfululizo.

Ukisema hivyo Mbona Kilimanjaro inashule nyingi lakini hakuna iliyoshika mkia huko
Nimesoma hadi mwisho, nukta Kwa nukta nikakusoma kuwa unazungumzia hawa watoto wanaojazana kwenye vituo vya mwendokasi Kwa masaa hadi manne (bahati Yao siku hizi wale security wa China wanawafurusha) wakisubiri basi lililoandikwa EXPRESS ili wapande, hata kama yupo Fire na anashuka Manzese. Eti nataka express. Express masaa manne kituoni? Badala ya kuwahi nyumbani ukasaidie kazi, ufanye home work na kupanga ratiba za masomo yako inasubiri express. Huu ni ukilaza kabisa, zamani mlisingizia makondakta wa daladala sasa hapo unapoacha basi la kawaida kusubiria express masaa manne Una maana gani? Hiyo akili au ugolo? Mkitoka shule muwahi nyumbani kusaidia kazi na kujisomea, kazi za nyumbani na masomo vinakwenda pamoja kama hamjui.
 
Inaonekana wewe ni mgeni wa Dar es Salaam ! Kuna msemo hapa mjini kuwa kila mtu na Hamsini zake .
Dar es Salaam Kuna shule za aina nyingi kuna zile za kishua hapa naongelea IST,Heaven of Peace na kadhalika hawa hata maswala ya NECTA hawajui yanaendaje na hawana mpango nayo.

Kundi la pili ni wanafunzi wa English medium hawa ndio middle class income na wengi wao kufaulu kidato cha nne si tatizo na ndio hawa ambao huwa wanaendelea private schools hasa za mikoani au wengine kwenda government schools hasa za mikoani kwa kuwa kwa upande wa High School ni chache .

Kundi la tatu ni la shule za kata na kikanda hizi ni shule zilizokuja kwa kasi hivi karibuni na zinabeba asilimia kubwa ya wanafunzi wa hali za chini kama mtoto akifaulu darasa la saba vizuri ataenda shule za kikanda hapa naongelea Azania,Benjamin Mkapa ,Dar Sec ,Zanaki ,Jangwani n.k ijapokuwa siku hizi kumekuwa na sarakasi nyingi kiasi kuchukuliwa mtoto yoyote .Wale wenye ufaulu wa kawaida hubakia kwenye shule za kata na wengi huishia kupata cheti.

Sababu zinazofanya ufaulu wa wanafunzi wa Dar es Salaam kuwa chini si Ukilaza! Ninaweza kukuhakikishia hili asilimia 100% kwani nimekulia na kusoma Dar es Salaam kuanzia Shule ya awali mpaka chuo Kikuu bali ni mambo haya yafuatayo ;

Moja Jamii ,Wenyeji wa Dar es Salaam si watu wa kisomo sana hapa naongelea dominant population ya jijini hapa kwao shule sio kipaumbele isingekuwa juhudi za mzee mkapa kuleta sheria kali hata hii shule ya msingi watu wasingepeleka watoto wao hivyo kupelekea watoto kutokuwa na mkazo katika swala la elimu wakiamini mtoto ameshakuwa mkubwa hivyo achague kama hataki kusoma afanye shughuli nyingine au jambo lingine hili swala ni kwa ukanda wote wa pwani angalia hata mikoa ya Tanga,Pwani,Lindi,Mtwara na Zanzibar .

Jambo la pili ni kuwa Dar es Salaam ina wakazi wengi kuliko mikoa mingine hivyo kupelekea mlundikano wa wanafunzi mashuleni,Ukienda mikoani ni kwa zile shule maarufu ndio utakuta watoto 700 katika shule moja lakini hali ni tofauti hapa Dar es Salaam kwani kukuta shule ya kata ina wanafunzi 700 si hali ya kushangaza na hii inafanya ufuatiliaji wa wanafunzi mashuleni kuwa hafifu kuna watoto wanashinda Chimbo wengine hawaandiki notes wengine wanahitaji msaada wa kisaikolojia na wote hawa hawashughulikiwi matokeo yake wanapofika madarasa ya mitihani ni wachache waliokatika uwezo wa kufanya mtihani husika.

Jambo la tatu ,Kama nilivyosema hapo awali Dar es Salaam kila mtu na hamsini zake Mzazi yuko busy kutafuta ridhiki na anarudi nyumbani (kibandani) amechoshwa na shughuli za Karume,kiwandani,kkoo,Daladala,fundi gereji,ajira za wahindi na kadha wa kadha hii inafanya usimamizi na ufuatiliaji wa mtoto katika elimu kuwa wa kusuasua na mbaya zaidi mtoto huyu Jamii haiwajibiki kumlinda anakuwa akilelewa na mtaa na hapa kuwa exposed kwenye mapenzi na tabia nyinginezo hatarishi sasa mtoto ameshaanza kwenda club form two ana tecno yake ina wanaume kibao na huyu yuko anashinda kwenye kubeti na makundi hatarishi ya uvutaji bangi na kamali unafikiri anaweza kukomaa na shule ?

Jambo la nne na la mwisho ukija kwenye uhalisia wanafunzi wenye makazi Dar es Salaam ndio inaongoza kwa ufaulu kuliko sehemu yoyote Tanzania na kundi hili la cream students ndio linaendesha shule nyingi za private na za kikanda katika mikoa mingine binafsi nilivyopasua O level walinipeleka Kilimanjaro nikaona wamenizingua nikasoma kidogo na kurudi jijini ila kuna watu wengi ambao kwao ni Dar es Salaam na wanaendesha hizo shule unazoona zina performance nzuri Kibaha,Iliboru,Umbwe,St Mary’s Mzinde juu,St Francis ,Marian na kadhalika asilimia kubwa ni wanafunzi kutoka Dar es Salaam .

Mazingira na Jamii ya Dar es Salaam ndio kikwazo kikubwa cha kuyumba kwa ufaulu wa watoto/wanafunzi wa Dar es Salaam na si ufinyu wa uelewa wa wanafunzi au changamoto za kiuelewa.
 
Dar ni jiji ninalolielewa kuliko mji niliozaliwa(Moshi)
Ninaishi Sinza Kwaremi karibu na Shamo Hotel. Njoo hapa nikutembeze katika mji huu uone kile ninachokisema.

Sijajua ni wapi nisipopajua kwa hapa Dsm.
Huko Mbagala maeneo ambayo nimeishi ni Mtongani, hapo kuanzia kwa Chang'ombe pale DUCE, Uhasibu, kwa Azizi Ali mpaka Mbagala unapoishi napafahamu fika. Sio kwa kuhadithiwa au kupita na daladala bali kwa kutembea. Mpaka unatokea kongowe unaacha barabara ya Mkuranga unakata kushoro kuelekea Twangoma, Mwembe Mtengu mpaka unatokea Kigamboni. Bado unasema sipajui Dar?

Tena huko ni porini. Njoo hapa City Center posta, Upanga, Muhimbili, Kariakoo, Jangwani, huyu hapa mpaka magomeni, manzese, Ubungo, bado useme sipajui. Au nikupitishie Tandale mpaka sinza, kijitonyama, mwananyamala, makumbusho. Bado siijui haka kamji.
Au unataka Mwenge, Mbezi beach, Tegeta, Boko, Basi Haya, Bunju, unavuka Daraja huyo unatokea mapinga kwenye shule ya Baobao sekondari huku ni bagamoyo.

Bado Dar sipajui, Unataka njia ya Ubungo, Kimara, mbezi mwisho, Kibamba huyo unaacha Dsm unapokelewa na Kibaha.

Au ni Msasani, Masaki, na Ostabey.

Wanafunzi wa Dar ni wavivu wala hakuna kujitetea.

Hoja ya usafiri sio kweli.

Hayo mazingira nisiyoyajua ni yapi.
Dar! inabeba mizigo mkubwa wa watu!....wenye nazo, wasio nazo, maskini, vichaa, walevi nk!! wewe uliishi kwenye kaya za walevi na vichaa ndo wanaishi ivo!!! .....kila kitu utapata Dar!! usituletee habari za Tabata kwa chura mabondeni huko!

uliishi kwa walevi wenzio!! Daisalama hata mtoto akifaulu vipi hapelekwi shule za sirikali, halafu watu wa dar hawapendi sifa za kijinga!!! ,,,eti sijui shule gani imeongoza mweee!! hawapendi ujinga!!

hao wa mkoa wanao faulu sana wamekariri kariri tu!! na kupenda sifa za kijinga elimu jamii hawana sitetei wale wanaishinda vituoni!! la hasha!! lkn hao wasifanye uhukumu watoto wa DSM yote !!

wewe umejumuisha kasehemu kadogo tu ukadhani ndo wote wako ivo!!!!!.... Dar huijui kwa sababu sehemu zooote ulizotaja za jijini ulizunguka ajili ya ulimbukeni ukasimulie vizuri!!

lkn mzaliwa Dsm mjini hasa!! hata kariakoo hapajui!!.......akafanye nini kwanza,,, ila wewe ushamba n ulimbukeni ulikufanya uzunguke jiji zima ukasimulie kwa wakulima wenzio vizuri!

kifupi ulifikia nyumba za vilaza nyie ndo mnapelekaga habari mbaya mikoani eti daa wanashindia, kitumbua na maji. sijui kaugali km ngumi!!! ....kuuumbe uongo mtupu! mna madonge ya kuzaliwa nayo!

Dar kuna maisha bomba sana, supu za mkia kila jioni lainiiiii, ulimi wa boooo!, Maziwa ya ngamia, ugali wa ufuta/uwele tani yako, kulee sewa Bar na kwingineko unapata mambo, chips mtalazo kila jioni!

hapo bado take away za kiti moto safi lainiii iloiva kwa joto tu, la magari yanayopita barabarani kamwe hainuki moshi!! ugali ya ulesi maridadi yenye mafuta ya alizeti! hapo black point za city centre!

Dar kuna chapati tamu laini zilizo pikwa kwa mafuta ya kiwi mnyama, masaa 24, sasa kwa nini mtoto asiwe na akili??? wewe ulitembelea nyumba za walala hoi Dar.......aaa! ndo unadhani wote tuko ivo.....koma weee!!

Mashule yoote haya ya Ebglish media?? ila hawapendi sifa za kijinga ndo ninacho wapendea watu wa Dar, wao wakimaliza tu sec. ni elimu ya nje baaasi inayotambulika kimataifa!....unasema kwa Azizi ali kule bondeni si ni sawa na Mbeya tu kule?

jamani mkuje huku bongo kumenoga huyo muongo!! anawakatisha tamaaa saabu alikaa na nduguze vilaza wa bongo!! walevi,...vigagula walishalaaniwa huko mikoani kwao kwa kula nyama za watu!! ndo unalinganisha na maborn town?

Acha hizoo dogo!! hujui kitu bana Bongo hoyeeeeeeeeeeeeeeee
 
Umechanganyikiwa Kweli!

Sasa Kama umezaliwa DAR alafu hupajui KARIAKOO bado nikuone umzima kichwani?

Unajua maana ya kuujua Mji?

Huwezi ujue mji pasipokutembea!
Huwezi ijua Dunia pasipo kutembea nchi mbalimbali.
Huwezi ijua TANZANIA pasipo kutembea mikoa mbalimbali.

Sasa wewe Kwa vile ni kilaza na mshamba licha ya kuzaliwa DAR huelewi Jambo dogo Kama hilo.

Mwishowe useme Mzungu akitoka Marekani akija kutalii TANZANIA na kuzunguka Mikoa yote muhimu umuite mshamba. Ndio shida ya elimu ndogo na Uelewa sifuri.

Kama ulisoma na hukuwa kilaza usingeshindwa kujua kuna Utalii wa ndani.

Na ndio maana wamikoani wanakuja na kuwakalisha watu wa DAR kutokana na ukilaza wenu.

Ati hawapendi sifa za kijinga😀😀😀 Kwa hiyo Kupata Zero ndio Sifa za Kiakili😀😀😀
Ila kuna watu mmechanganyikiwa haswa
 
DAR ES SALAAM NI JIJI LA VILAZA.

Na, Robert Heriel.

Sijawahi kuona wanafunzi vilaza kama wa Mkoa wa Dar es salaam. Wanafunzi wa Dar es salaam ni vilaza hujapata kuona popote dunia hii. Ni vilaza ambao hawajawahi kutokea tangu kuumbwa kwa dunia. Wapende wasipende. Huo ndio ukweli. Ninyi ni Vilaza tena wa kutupa. Mnalitia taifa aibu kwa sifuri zenu.

Unajua maana ya mwanafunzi kilaza?
Ipo hivi; Kilaza ni mwanafunzi ambaye uwezo wake wa akili ni mdogo hata umuwekee mazingira wezeshi bado atabaki kuwa na uwezo mdogo.

Kwa maana hiyo na nyinginezo zinalifanya jiji la Dar es salaam kuwa jiji la Vilaza waliotukuka.

Haiwezekani jiji kubwa hapa nchini lenye miundombinu yenye unafuu bado lishindwe hata kuwa top ten ya mikoa. Mbaya zaidi ndilo linaloongoza kwa sifuri zilizotukuka. Huo ni ukilaza.
Wala hatuna muda wa kuongea maneno matamu katika hili. Yaani usome Dar es salaam bado upate sifuri wewe ni kiazi mbatata.

Dar es salaam karibu kila nyumba inaumeme. Nini kinafanya watoto wasisome mpaka wapate sifuri kama sio vichwa viazi. Iko hivi. Kama mtoto sio kiazi basi mlezi ndiye kiazi. Mtoto apate sifuri ilhali kuna umeme. Anapataje sifuri kwa mfano kama sio uzembe. Na uzembe ndio ukilaza wenyewe huo.

Watoto wanshindwa kuamka usiku wa manane kusoma? Haya hata wazazi wanashindwa kuwaamsha hao watoto kama wao wenyewe hawajitambui? Usijesema kuna kelele. Hiyo sio kweli. Mji wa Dar es salaam unaanza kupoa mida ya saa tatu usiku. Huo ni muda mzuri kwa mwanafunzi kujisomea. Akipeleka mpaka saa saba. Au alale kisha amke saa nane mpaka asubuhi kila siku kamwe hawezi kupata sifuri.

Jiji lina Tuition center kila kona. Ukigeuka huku mchikichini, huku mapambano, kule sijui nini huko. Yaani Tuition kila kona. Haya tuseme mzazi hana Pesa ya Tuition. Hivi mtoto kweli unashindwaje kuwa na marafiki wanaosoma tuition badala yake marafiki zako ni wacheza vigoma na mdundiko. Sijui Beach boy, sijui panya Road yaani utumbo utumbo tuu. Alafu unakuja kulitia aibu taifa.

Hivi unapataje sifuri kwenye jiji ambalo kila nyumba inammiliki wa Smartphone kama sio Laptop kabisa. Hivi mnashindwaje kudownload notes na material mbalimbali ya kujisomea. Matokeo yake mnatumia simu kudownlooad Video za ponograph, kuchat Whatsapp, instagram, sijui imo, na Telegram.

Yaani unaishi Dar alafu unapata sifuri wewe kama sio kichaa ni nani. Hakuna mwanafunzi mwenye akili timamu ambaye atasoma Dar apate sifuri. hata hiyo division four haiwezekani.

Haiwezekani jiji lenye chuo cha taifa, chuo kikuu cha Dar es salaam - UDSM , vyuo vingine vingi tuu kama CBE, IFM, NIT, DIT, Ardhi, Muhimbili n.k alafu bado mtu anapata zero huo si upunguani.Sisi wengine wamikoani vyuo vikuu tumeviona tulivyomaliza kidato cha sita. Tukaja mjini tukanyuka misonge tukasepa. Ninyi mmebaki kushangaana hapo kama vichaa.

Ujinga ni pamoja na kutokujua matumizi ya rasilimali. Yaani jiji lenu lina vyuo kama vyote, mnashindwa kwenda kujifunza hata kwa kaka zenu wa chuo. Mnatia aibu kwa kweli.

Jiji la Dar es Salaam ndio jiji pekee lenye vitabu, vitini, na madesa kuliko mkoa wowote hapa nchini. Lakini shangaa ndilo linaloongoza kwa sifuri nyingi ambazo ni zaidi ya mara mbili kwa mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Iringa.

Nina uhakika jiji la Dar es salaam kama lisingekuwa na miundombinu wezeshi kama hiyo hakuna mwanafunzi ambaye angepata hata divisio four. Wote wangepata sifuri kwa sababu ni vilaza.

Jiji la Dar es Salaam hakuna changamoto ya usafiri. Kwa vile wamezoea mambo ya legelege utasikia kugombania daladala ni changamoto. Wewe ni kichaa kama utafikiri hivyo. Nenda mkoani uone wenzako wakitembea kilomita za kutosha zaidi ya masaa mawili na bado wakifika wachapwe bakora kwa kuchelewa. Wewe unatembea dakika mbili upo kwenye daladala huyo mpaka shule. Tena kwenye Daladala mnapiaga kelele wazazi wenu kwa sababu nao ni wendawazimu kama nyie. Yaani matoto yanapanda gari yanaanza kutukana, sijui hadithi ya msanii gani kafanya nini. Mara matusi kibao. Hapo kuna wazazi nao wanasikiliza kwa sababu nao ni walewale. Badala wawakanye ikiwezekana wawachape bakora za uhakika. Looh! Ndio mambo ya vilaza hayo.
Mkoani huwezi sikia ujinga ujinga kama huo. Nenda Misungwi huko, nenda muleba, nenda Rombo, Nenda Bukoba, Nenda Mbeya kama utasikia upuuzi huo.

Jiji la Dar es Salaam hakuna kazi ngumu kwa wanafunzi bado toto lipate sifuri kama sio ukilaza huo ni nini. Mkoani watu wanatoka shule wanasubiriwa na majani ya mbuzi, ng'ombe, kuni, kuchunga mifugo na kulima. Mtoto akirudi nyumbani akichelewa anakula mbata/bakora za uhakika na mzigo unamsubiria shambani. Lakini mwisho wa siku matokeo ya kidato cha nne anasimamisha msonge alafu wewe unayerudi nyumbani saa nane mchana unakalia kucheza PS, au unaenda kwenye mabanda umiza ya kina Acheche na Kimoda kuangalia Muvi unapata sifuri kwa ukilaza wako. Wewe ni kilaza na atakayekutetea ni kilaza bila kujali nafasi yake.

Huwezi ukafeli sehemu yenye shule zilizokaribu karibu.Jamani unashindwa kupata marafiki wa kitaaluma. Wenzako mkoani unakuta wilaya kata nzima kama sio wilaya shule ipo moja na bado anakupiga kipigo cha mbwa koko. Wewe bado uwe mzima kichwani.

Huwezi ukafeli ilhali kuna vipindi vya bungo kids sijui Skonga kwenye Luninga. Hivi unajua huko mikoani wenzako hivyo vipindi hawavijui kabisa kutokana na kutokuwepo na nyumba za umeme. Mfuate yule kijana wa Simiyu aliyechapa one ya Saba uone kama anajua hivyo vipindi. Usishangae kwao hakuna hata umeme. Alafu wewe unashindwa na mluga luga asiyeijua hata smartphone bado ujione kichwani zimo.

Watoto wa Dar es Salaam wanajiona wajanja lakini hakuna ujanja waliokuwa nao zaidi ya ujinga ujinga tuu. Wewe ukimuona kijana wa Dsm anaongea sana ujue kichwani hamna kitu. Usishangae kwa nini jiji hilo ni chafu kupita maelezo. Jibu ni kwa sababu ya ukilaza.

Wewee fikiria mtu anazibua chemba wakati wa mvua ikinyesha alafu yale mavi yanazagaa mtaani. Kama huo sio ukichaa ni nini.

Embu angalia mikoa inayofanya vizuri hapa nchini uone kama utaona hayo mambo ya hovyo. Embu nenda kule Kilimanjaro, Arusha, Iringa, Kagera, Mbeya na Simiyu uone kama utakuta mambo hayo. Ujinga unaendana na uchafu. Ndio maana vichaa huwa ni wachafu na wanaishi kwenye majalala. Ndio sifa hiyo.

Wewe mtu mzima unapangiwa ratiba ya usafi bado ujione unaakili kweli. Kazi kusumbua viongozi.

Vitoto vya Dar es salaam ni moja ya vitoto vilivyo changanyikiwa. Yaani kitoto kidogo lakini mambo yake mazito. Unakuta kijana wa kiume katoboa pua na anasoma. Mara kanyoa kiduku, mara kabana suruali na matako kama shoga na bado kanasoma. Alafu Baba yupo, Mama yupo, Bibi yupo, Shangazi yupo, na anapewa ugali pumbavu kabisa. Alafu mtu aone nawatukana watu wa Dsm. Ninyi ni vilaza.

Ati mnasingizia maisha magumu huo ni uongo. Mngeishi huku mkoani kwa watabe. Huku maisha magumu lakini watu hawajiharibu kwa upuuzi.

Wanafunzi wa Dsm wanalala na wazungu lakini kingereza weupe yaani kapa. Mkoani watu wanalala na ng'ombe, kuku. mbuzi na kondoo chumba kimoja na bado kijana anamwaga ung'eng'e kama mzungu wa London.

Nakumbuka miaka nikiwa nasoma sekondari nilikutana na kijana maneno mengi wa Dsm. Yaani kijana anaongea yule sijapata kuona. Nikamuuliza swali dogo tuu la Biology kwamba aelezee Mechanism of Hearing. Dogo chali. Nikaona nimmalize kabisa, (physics) nikamwambia aelezee Paschal's Principle dogo jasho linamtoka. Nikasema huyu ili akiniona anisalimie kabisa nikamwambia (history) aelezee WWI. Hapa nilimuuliza swali la history ili nimpumzishe lakini kumbe hata hiyo WWI haijui. Nilishangaa akiongea habari za mieleka. Mama yangu! Nikamtemea mate usoni nikamwambia tokaa hapa! Kwa kweli aliniudhi mno. Japo tulishikana mashati lakini hatakuja kunisahau maana alibadilika na tulikutana Udsm. Alinambia dharau zangu zilimsaidia. Mate yangu yaligeuza upuuzi wake kuwa akili.

Ninachotaka kusema ni kuwa, Jiji la Dar es salaam mnatia aibu. Mbadilike. Ndio maana mnaitwa wanaume wa Dar. Yaani watu legelege.

Haiwezekani muwe na kila kitu bado mnafeli. Kama sio ukilaza huo ni nini.

Mwisho; Najua wapo wanaojitahidi hapa Dsm lakini mnamezwa na wanaoangua mayai viza. Wanawaabisha hao watu.

SIshangai kwenye media nikiona mambo ya hovyo, najua ni matokeo ya vilaza. Mtu anashabikia udaku, shilawadu, na upuuzi mwingine kama huo. Na wenye media nao kwa vile wengi wao ni vilaza wanaruhusu vipindi kuruka hewani. Kwa kweli tunahitaji mabadiliko makubwa katika jiji letu hili.

Ukiishi Dar miaka mitano mfululuzi lazima akili yako iyumbe. Hii ni kutokana na mvutano utakaoupata kutoka kwa vilaza.

Wana- Dar es salaam tubadilike kwa maana mimi mwenyewe ni mkazi wa Dsm.

Ikumbukwe kuwa; nimeitumia Dar kama kielelezo cha mikoa yenye vilaza wa kutupa. Mikoa mingine ambayo sijaitaja ambayo inamiundombinu wezeshi lakini bado inafelisha, huu ujumbe pia unawahusu.

Robert Heriel
Taiko wa Fasihi
0693322300

Ukweli ni kwamba hiyo mikoa mnaowadhania hawajasoma ndiyo maraisi wazuri hutokea huko.....
 
Umechanganyikiwa Kweli!

Sasa Kama umezaliwa DAR alafu hupajui KARIAKOO bado nikuone umzima kichwani?

Unajua maana ya kuujua Mji?

Huwezi ujue mji pasipokutembea!
Huwezi ijua Dunia pasipo kutembea nchi mbalimbali.
Huwezi ijua TANZANIA pasipo kutembea mikoa mbalimbali.

Sasa wewe Kwa vile ni kilaza na mshamba licha ya kuzaliwa DAR huelewi Jambo dogo Kama hilo.

Mwishowe useme Mzungu akitoka Marekani akija kutalii TANZANIA na kuzunguka Mikoa yote muhimu umuite mshamba. Ndio shida ya elimu ndogo na Uelewa sifuri.

Kama ulisoma na hukuwa kilaza usingeshindwa kujua kuna Utalii wa ndani.

Na ndio maana wamikoani wanakuja na kuwakalisha watu wa DAR kutokana na ukilaza wenu.

Ati hawapendi sifa za kijinga😀😀😀 Kwa hiyo Kupata Zero ndio Sifa za Kiakili😀😀😀
Ila kuna watu mmechanganyikiwa haswa
Teee!tee tee! dogo acha jazba yaani nimecheka mpaka nakuhurumia kwa hiyo wewe bila kutalii Kilimo cha mahindi Marekani huwezi jibu mtihani? au, Ok! ufugaji wa Kondoo south ulisha fika huko? ulijibuje mitihani sasa?

Utalii waachie wazungu!! mpaka leo hujui maana ya utalii?? wale ni wakoloni wanakujaga kuangalia Mali za babu wa babu zao walizoachaga alama humu wakiwa wakoloni!! kuhakikisha hazihujumiwi na wazungu wenzao!!

Hivi unajua mataifa yanayoongoza kwa utalii Barani AFRICA weye?? au umekurupuka dogo! sasa weye mweusi tiii na kaelimu kako hako ka division one hujui maana ya utalii ukoloni mambo leo? mmatumbi una talii kabisaaa!!

wale wako kazini, kuli colonise bara la africa kifikra!! kila siku wanakuja kivingine, shule za kata hawajuagi mambo mengi, kwani unaona kipindi cha nyerere watalii walikuwa wanashobokea Bongo??!! hakuna...

pole sana ulikariri kariri tu ili ushinde mitihani hutakaa ujue siri iliyoko nyuma ya pazia! milele! eti unaona utalii unalipa hela nyingi mweee!! unanunuliwa bila kujijua! ndo elimu mliyopata!

Hako ka Divison one kako hako hupati kazi hapo South tu!!! iangalie hako ka- Elimu kenu hako kwa jicho la kimataifa! hata uwe MD ya Bongo na divison one plus, hapo South tu, hupati kazi kirahisi mpaka usome tena,

lkn yule aliye soma Botswana, Kenya nk anapata kazi faster ughaibuni! kwanza kiinglish chenyewe hujui umekariri kariri tu!! Kaelimu kenu hako ka Upe ni zero sana! tembea uone!!1

Niliona hapo Hospitali zenu za Lugalo. Mwananyamala, MNH wakati wa ward round Daktari hata hajui kutirirIka Medical presentation aliyoiandaa mwenyewe - jamani?? alipitapitaje huyu eti ana division one mweee! ndo km weye!!

Wenzenu huko majuu kwanza hata hawasomi hiyo report ni mahojiano tu! kwa kwenda mbele anatirirka mpaka utapenda utadhani kameza kakitabu flani hivi..

Lkn siku hizi mambo ni tofauti sana, sasa weye nenda MNH pale na ka divison one kako hako, tumbo kubwa!! uone mchujo wake lazima tena serious! .....ndo utajua hujui......cha muhimu uelewa upo????

unarudi kwenu taaatibu zamani ulikuwa unapewa ticket ya ndege ili usije jinyonga, lkn siku hizi utajua mwenyewe utakavyoenda, achia na rudisha funguo tambaa kwenu nafasi inajazwa....
 
😀😀😀😀

Unaongea mambo ambayo wenzako tuliyajua tangu shule ya Msingi.

Unazungumzia nadharia za kitoto Kwa watu wazima😀😀😀

Afrika inatawaliwa mpaka kesho hao watalii na ukoloni mamboleo haviingiliani hata kidogo.
Labda Kwa elimu ya vijiwe vyenu vya DAR hapo Buza
 
DAR ES SALAAM NI JIJI LA VILAZA.

Na, Robert Heriel.

Sijawahi kuona wanafunzi vilaza kama wa Mkoa wa Dar es salaam. Wanafunzi wa Dar es salaam ni vilaza hujapata kuona popote dunia hii. Ni vilaza ambao hawajawahi kutokea tangu kuumbwa kwa dunia. Wapende wasipende. Huo ndio ukweli. Ninyi ni Vilaza tena wa kutupa. Mnalitia taifa aibu kwa sifuri zenu.

Unajua maana ya mwanafunzi kilaza?
Ipo hivi; Kilaza ni mwanafunzi ambaye uwezo wake wa akili ni mdogo hata umuwekee mazingira wezeshi bado atabaki kuwa na uwezo mdogo.

Kwa maana hiyo na nyinginezo zinalifanya jiji la Dar es salaam kuwa jiji la Vilaza waliotukuka.

Haiwezekani jiji kubwa hapa nchini lenye miundombinu yenye unafuu bado lishindwe hata kuwa top ten ya mikoa. Mbaya zaidi ndilo linaloongoza kwa sifuri zilizotukuka. Huo ni ukilaza.
Wala hatuna muda wa kuongea maneno matamu katika hili. Yaani usome Dar es salaam bado upate sifuri wewe ni kiazi mbatata.

Dar es salaam karibu kila nyumba inaumeme. Nini kinafanya watoto wasisome mpaka wapate sifuri kama sio vichwa viazi. Iko hivi. Kama mtoto sio kiazi basi mlezi ndiye kiazi. Mtoto apate sifuri ilhali kuna umeme. Anapataje sifuri kwa mfano kama sio uzembe. Na uzembe ndio ukilaza wenyewe huo.

Watoto wanshindwa kuamka usiku wa manane kusoma? Haya hata wazazi wanashindwa kuwaamsha hao watoto kama wao wenyewe hawajitambui? Usijesema kuna kelele. Hiyo sio kweli. Mji wa Dar es salaam unaanza kupoa mida ya saa tatu usiku. Huo ni muda mzuri kwa mwanafunzi kujisomea. Akipeleka mpaka saa saba. Au alale kisha amke saa nane mpaka asubuhi kila siku kamwe hawezi kupata sifuri.

Jiji lina Tuition center kila kona. Ukigeuka huku mchikichini, huku mapambano, kule sijui nini huko. Yaani Tuition kila kona. Haya tuseme mzazi hana Pesa ya Tuition. Hivi mtoto kweli unashindwaje kuwa na marafiki wanaosoma tuition badala yake marafiki zako ni wacheza vigoma na mdundiko. Sijui Beach boy, sijui panya Road yaani utumbo utumbo tuu. Alafu unakuja kulitia aibu taifa.

Hivi unapataje sifuri kwenye jiji ambalo kila nyumba inammiliki wa Smartphone kama sio Laptop kabisa. Hivi mnashindwaje kudownload notes na material mbalimbali ya kujisomea. Matokeo yake mnatumia simu kudownlooad Video za ponograph, kuchat Whatsapp, instagram, sijui imo, na Telegram.

Yaani unaishi Dar alafu unapata sifuri wewe kama sio kichaa ni nani. Hakuna mwanafunzi mwenye akili timamu ambaye atasoma Dar apate sifuri. hata hiyo division four haiwezekani.

Haiwezekani jiji lenye chuo cha taifa, chuo kikuu cha Dar es salaam - UDSM , vyuo vingine vingi tuu kama CBE, IFM, NIT, DIT, Ardhi, Muhimbili n.k alafu bado mtu anapata zero huo si upunguani.Sisi wengine wamikoani vyuo vikuu tumeviona tulivyomaliza kidato cha sita. Tukaja mjini tukanyuka misonge tukasepa. Ninyi mmebaki kushangaana hapo kama vichaa.

Ujinga ni pamoja na kutokujua matumizi ya rasilimali. Yaani jiji lenu lina vyuo kama vyote, mnashindwa kwenda kujifunza hata kwa kaka zenu wa chuo. Mnatia aibu kwa kweli.

Jiji la Dar es Salaam ndio jiji pekee lenye vitabu, vitini, na madesa kuliko mkoa wowote hapa nchini. Lakini shangaa ndilo linaloongoza kwa sifuri nyingi ambazo ni zaidi ya mara mbili kwa mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Iringa.

Nina uhakika jiji la Dar es salaam kama lisingekuwa na miundombinu wezeshi kama hiyo hakuna mwanafunzi ambaye angepata hata divisio four. Wote wangepata sifuri kwa sababu ni vilaza.

Jiji la Dar es Salaam hakuna changamoto ya usafiri. Kwa vile wamezoea mambo ya legelege utasikia kugombania daladala ni changamoto. Wewe ni kichaa kama utafikiri hivyo. Nenda mkoani uone wenzako wakitembea kilomita za kutosha zaidi ya masaa mawili na bado wakifika wachapwe bakora kwa kuchelewa. Wewe unatembea dakika mbili upo kwenye daladala huyo mpaka shule. Tena kwenye Daladala mnapiaga kelele wazazi wenu kwa sababu nao ni wendawazimu kama nyie. Yaani matoto yanapanda gari yanaanza kutukana, sijui hadithi ya msanii gani kafanya nini. Mara matusi kibao. Hapo kuna wazazi nao wanasikiliza kwa sababu nao ni walewale. Badala wawakanye ikiwezekana wawachape bakora za uhakika. Looh! Ndio mambo ya vilaza hayo.
Mkoani huwezi sikia ujinga ujinga kama huo. Nenda Misungwi huko, nenda muleba, nenda Rombo, Nenda Bukoba, Nenda Mbeya kama utasikia upuuzi huo.

Jiji la Dar es Salaam hakuna kazi ngumu kwa wanafunzi bado toto lipate sifuri kama sio ukilaza huo ni nini. Mkoani watu wanatoka shule wanasubiriwa na majani ya mbuzi, ng'ombe, kuni, kuchunga mifugo na kulima. Mtoto akirudi nyumbani akichelewa anakula mbata/bakora za uhakika na mzigo unamsubiria shambani. Lakini mwisho wa siku matokeo ya kidato cha nne anasimamisha msonge alafu wewe unayerudi nyumbani saa nane mchana unakalia kucheza PS, au unaenda kwenye mabanda umiza ya kina Acheche na Kimoda kuangalia Muvi unapata sifuri kwa ukilaza wako. Wewe ni kilaza na atakayekutetea ni kilaza bila kujali nafasi yake.

Huwezi ukafeli sehemu yenye shule zilizokaribu karibu.Jamani unashindwa kupata marafiki wa kitaaluma. Wenzako mkoani unakuta wilaya kata nzima kama sio wilaya shule ipo moja na bado anakupiga kipigo cha mbwa koko. Wewe bado uwe mzima kichwani.

Huwezi ukafeli ilhali kuna vipindi vya bungo kids sijui Skonga kwenye Luninga. Hivi unajua huko mikoani wenzako hivyo vipindi hawavijui kabisa kutokana na kutokuwepo na nyumba za umeme. Mfuate yule kijana wa Simiyu aliyechapa one ya Saba uone kama anajua hivyo vipindi. Usishangae kwao hakuna hata umeme. Alafu wewe unashindwa na mluga luga asiyeijua hata smartphone bado ujione kichwani zimo.

Watoto wa Dar es Salaam wanajiona wajanja lakini hakuna ujanja waliokuwa nao zaidi ya ujinga ujinga tuu. Wewe ukimuona kijana wa Dsm anaongea sana ujue kichwani hamna kitu. Usishangae kwa nini jiji hilo ni chafu kupita maelezo. Jibu ni kwa sababu ya ukilaza.

Wewee fikiria mtu anazibua chemba wakati wa mvua ikinyesha alafu yale mavi yanazagaa mtaani. Kama huo sio ukichaa ni nini.

Embu angalia mikoa inayofanya vizuri hapa nchini uone kama utaona hayo mambo ya hovyo. Embu nenda kule Kilimanjaro, Arusha, Iringa, Kagera, Mbeya na Simiyu uone kama utakuta mambo hayo. Ujinga unaendana na uchafu. Ndio maana vichaa huwa ni wachafu na wanaishi kwenye majalala. Ndio sifa hiyo.

Wewe mtu mzima unapangiwa ratiba ya usafi bado ujione unaakili kweli. Kazi kusumbua viongozi.

Vitoto vya Dar es salaam ni moja ya vitoto vilivyo changanyikiwa. Yaani kitoto kidogo lakini mambo yake mazito. Unakuta kijana wa kiume katoboa pua na anasoma. Mara kanyoa kiduku, mara kabana suruali na matako kama shoga na bado kanasoma. Alafu Baba yupo, Mama yupo, Bibi yupo, Shangazi yupo, na anapewa ugali pumbavu kabisa. Alafu mtu aone nawatukana watu wa Dsm. Ninyi ni vilaza.

Ati mnasingizia maisha magumu huo ni uongo. Mngeishi huku mkoani kwa watabe. Huku maisha magumu lakini watu hawajiharibu kwa upuuzi.

Wanafunzi wa Dsm wanalala na wazungu lakini kingereza weupe yaani kapa. Mkoani watu wanalala na ng'ombe, kuku. mbuzi na kondoo chumba kimoja na bado kijana anamwaga ung'eng'e kama mzungu wa London.

Nakumbuka miaka nikiwa nasoma sekondari nilikutana na kijana maneno mengi wa Dsm. Yaani kijana anaongea yule sijapata kuona. Nikamuuliza swali dogo tuu la Biology kwamba aelezee Mechanism of Hearing. Dogo chali. Nikaona nimmalize kabisa, (physics) nikamwambia aelezee Paschal's Principle dogo jasho linamtoka. Nikasema huyu ili akiniona anisalimie kabisa nikamwambia (history) aelezee WWI. Hapa nilimuuliza swali la history ili nimpumzishe lakini kumbe hata hiyo WWI haijui. Nilishangaa akiongea habari za mieleka. Mama yangu! Nikamtemea mate usoni nikamwambia tokaa hapa! Kwa kweli aliniudhi mno. Japo tulishikana mashati lakini hatakuja kunisahau maana alibadilika na tulikutana Udsm. Alinambia dharau zangu zilimsaidia. Mate yangu yaligeuza upuuzi wake kuwa akili.

Ninachotaka kusema ni kuwa, Jiji la Dar es salaam mnatia aibu. Mbadilike. Ndio maana mnaitwa wanaume wa Dar. Yaani watu legelege.

Haiwezekani muwe na kila kitu bado mnafeli. Kama sio ukilaza huo ni nini.

Mwisho; Najua wapo wanaojitahidi hapa Dsm lakini mnamezwa na wanaoangua mayai viza. Wanawaabisha hao watu.

SIshangai kwenye media nikiona mambo ya hovyo, najua ni matokeo ya vilaza. Mtu anashabikia udaku, shilawadu, na upuuzi mwingine kama huo. Na wenye media nao kwa vile wengi wao ni vilaza wanaruhusu vipindi kuruka hewani. Kwa kweli tunahitaji mabadiliko makubwa katika jiji letu hili.

Ukiishi Dar miaka mitano mfululuzi lazima akili yako iyumbe. Hii ni kutokana na mvutano utakaoupata kutoka kwa vilaza.

Wana- Dar es salaam tubadilike kwa maana mimi mwenyewe ni mkazi wa Dsm.

Ikumbukwe kuwa; nimeitumia Dar kama kielelezo cha mikoa yenye vilaza wa kutupa. Mikoa mingine ambayo sijaitaja ambayo inamiundombinu wezeshi lakini bado inafelisha, huu ujumbe pia unawahusu.

Robert Heriel
Taiko wa Fasihi
0693322300
Wanafunzi kutwa nzima wanawaza Safari ya daladala kwenda Shule wataacha kuwa vilaza kweli? Kwani hata wakazi wa Dar mbona wengi wao Ni vilaza.
 
Back
Top Bottom