Nini kifanyike endapo nyumba yako imeshika moto usiku mkiwa ndani

Tatizo zile nondo kwenye madirisha. Nadhani ni muhimu nyumba iwe na milango mitatu. Moto ukianzia sebuleni mnatokea milango mingine. Milango mingine isitokee sebleni

Pia huu mfumo wa kuweka nondo madirishani inabidi tuache.
Maana ukitokea moto kutoka ni haiwezekani.
Tuweke madirisha gani ambayo tutatoka moto ukiwaka
 
Tatizo zile nondo kwenye madirisha. Nadhani ni muhimu nyumba iwe na milango mitatu. Moto ukianzia sebuleni mnatokea milango mingine. Milango mingine isitokee sebleni

Pia huu mfumo wa kuweka nondo madirishani inabidi tuache.
Maana ukitokea moto kutoka ni haiwezekani.
Tunaweka nondo kuzuia wezi/vibaka

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo zile nondo kwenye madirisha. Nadhani ni muhimu nyumba iwe na milango mitatu. Moto ukianzia sebuleni mnatokea milango mingine. Milango mingine isitokee sebleni

Pia huu mfumo wa kuweka nondo madirishani inabidi tuache.
Maana ukitokea moto kutoka ni haiwezekani.
Kweli mkuu,ukichunguza nyumba nyingi za wenzetu wazungu ni vioo tu madirishani huwezikukuta nondo
 
Iliwahi tokea Mwanza mwaka1996 kama sikosei ililipotiwa familia ya watu 9 mitaa ya Bugando iliteketea kwa ajali ya moto.
Mzee mwenye Nyumba alikuwa Injinia Manispaa ya Mwanza wakati huo.
Aliweza kutoka salama yeye na mke wake pamoja na mtoto mdogo baada ya majirani kubomoa tofari chini ya dirisha haikuwa rahisi kubomoa milango ya chuma iliyozunguka nyumba hiyo.

Lakini Injinia aliamua kurudi ndani ya Nyumba kuwaokoa wazazi yaani Mama yake Mzazi na Mama Mkwe wake waliomtembelea nyumbani kwa mapumziko.
Bahati haikuwa yao walipofika sebuleni ule moto ulikuwa ushashika kasi hivyo waliangukiwa na ceiling board ikawafunika wote 3 na kufariki.
Jumla ya watu 9 walipoteza maisha kwenye ajali ile kipindi hicho Mkuu wa Mkoa alikuwa Mashishanga enzi za Mkapa (RIP).
 
mimi nishanunua nyundo kubwa Kama ya kupasulia mawe,shoka na panga matata hapa home, ikitokea tu nabomoa popote hata ukuta Kisha tunajiokoa.
 
Nyumba lazima iwe na exit door , nilijifunza kiugumu , Kuna Siku nilivamiwa na majambazi nikajikuta nipo locked ,mlangoni ndio wametanda jamaa na madirishani Kuna ma grill , baada ya tukio nikaamua kutengeneza exit door kwenye dirisha moja Kila chumba , nalock na kufuli lakini funguo zinakuwa hapo hapo dirishani, nadhani hata kukitokea Moto fasta nitakuwa nje.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom