Recent content by pelemba

  1. P

    JamiiForums Tanzania Israel ingekuwa dhaifu, ingeshapigwa zamani na waarabu

    Wewe ni Mkristu ambaye husomi biblia, Waisraeli ni Taifa teule la Mungu wao, hivyo Mambo mengi wanayofanya wanakibali kwa Mungu wao pamoja na kuangamiza mataifa mengine, Mtafute Mwl Ndacha atakufafanulia ,pili wewe hujui historia ya Wapalestina. Tatu hujui historia ya nchi ya Israeli sababu...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Richard S Mabala:Vyerehani vitatu ni Karakana au Kiwanda??

    Kwake ni Nzega
  3. P

    JamiiForums Tanzania Rwanda na Burundi ziliikosea nini Tanzania?

    Ninamzungumzia Mzee Kaunda yeye ni Mnyasa
  4. P

    JamiiForums Tanzania Rwanda na Burundi ziliikosea nini Tanzania?

    Hakuna uadui hapo ila ni kama jamii zimetenganishwa hivyo kila jamii inatakiwa iwe eneo lake mfano mzuri zambia,malawi na Zimbabwe pia zilikuwa taifa moja matokeo yake raia wa malawi aliwahi kuwa rais Zambia sio kwa nía mbaya
  5. P

    JamiiForums Tanzania Rwanda na Burundi ziliikosea nini Tanzania?

    Kabla ya mwaka 1919 Tanganyika,Rwanda na Burundi zilikuwa taifa moja labda hicho kinafanya hizi nchi tatu kuwa na uhusiano wa karibu sana kuliko mataifa mengine ya jirani kwahiyo wana jaribu kuona kama kunamasalia
  6. P

    JamiiForums Tanzania Wadau na wenyeji mnaoishi Kahama

    Nene goko nazimelwa nuokokaya kemba kinamapula
  7. P

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini nguzo za zege hazitumiki kama nguzo za umeme?

    Mimi naona tatizo sio kutumia nguzo za miti tatizo wale wanaotengeneza nguzo za zege kuficha bei ninahakika hata mleta mada hujui unategemea kupata wapi Mteja, tubadilike weka wazi bei wateja tupo wengi sana
  8. P

    JamiiForums Tanzania Aina za wasukuma na kisukuma

    Kiasi amejitahidi, ukweli ni Kwamba hakuna kabila la kisukuma ila sukuma ni upande wa kazikazini kwahiyo wenyeji walitambuana kutokana na upande unakoishi hivyo basi pande nne za dunia ndiyo ulileta kabila la wasukuma, tukianza na SUKUMA ni KASIKAZINI yaani SENGEREMA, MWANZA, DAKAMA ni KUSINI...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha Mgogoro Mashariki ya Kati. You must read this

    Zdd x
  10. P

    JamiiForums Tanzania Sehemu ya Jengo la Studio za Clouds Media Group yaungua moto

    YgkYgmttrrtttd strgttettee ttdegetdttxg rdddt4dr44dr4 dy
  11. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu nimfanye kitu gani? Anatembea na mfanyakazi mwenzie

    Pole sana kaka, naomba mtengane atakuuwa,
  12. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wenu jamani, mume wangu hajafanyiwa tohara

    Mwemwemwe, Mungu hakukosea kuweka mkono wa sweta, Leo watu wanahangaika na kondomu ukiwa na mkono wa sweta unavuta kidogo unafunga rubber band yako, twende kazini. Tayari umeweza uzazi wa mpango, Huna haja ya salama wala dume
  13. P

    JamiiForums Tanzania Nahitaji shirika kwa ajili ya kazi ya kujitolea

    Weka namba yako tukutafute Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom