Wadau na wenyeji mnaoishi Kahama

Wadau na wenyeji mnaoishi Kahama

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12,320
Reaction score
11,345
Habari..naomba kwa wadau wanaoishi KAHAMA naomba tufahamiane..karibu PM.

Asante.

IMG_0789.jpg
 
Tfahamiane ki VP Yani, Haya mi niko hapa, kwetu ni muhungura, Ila kwa sasa niko mikoani
 
Mm nipo dar...
ila mwenyeji wa maeneo yote Kahama mjini..
kama Nyihongo,majengo,mhongoro,malunga,nyahanga,shunu,Phantom,mbulu,Nyasubi,sokola na maeneo yote ya mjini...
 
Mm nipo dar...
ila mwenyeji wa maeneo yote Kahama mjini..
kama Nyihongo,majengo,mhongoro,malunga,nyahanga,shunu,Phantom,mbulu,Nyasubi,sokola na maeneo yote ya mjini...

Umenikumbusha mbali sana, nimeishi Nyasubi kwa mama Farida, nimekulia Kahama na ninayegemea kuishi Kahama kuanzia mwaka kesho
 
Rock n Hill iko mitaa gani hiyo? Au ni ile zamani iliitwa Rock point?
Sasa umeishi Nyasubi halafu hupajui Rock n' Hill au ulitaka niseme Rokenihilli Bar!?.. Ipo kama waelekea Phantom kabla ya Mtaa wa Mkude!.
 
Sasa umeishi Nyasubi halafu hupajui Rock n' Hill au ulitaka niseme Rokenihilli Bar!?.. Ipo kama waelekea Phantom kabla ya Mtaa wa Mkude!.

Hapana sipafahamu, mitaa hiyo naifahamu Rock point na baa flani huwa wanaonesha mpira mbele ya Car wash mpya na kuna ule mchezo wa Darts.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom