SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,096
- 75,541
Wasiojulikana wameshafanya yao
wamespeculste wameiona fiesta ya kuisha sasita haitawalipa. akili kichwani wakajilipua ili bima iwakave vya kutosha kufidia hasara ya fiesta. Huitaji akili kubwa kama ya dk luis kulikua hilo
hahaaa duniani wawili wawili hata katika kuwaza mambo.Mkuu ulikuja kucopy Idea yangu nini
well said take 5
Daddy amewatembelea
Mbona chuki sana!!? Do you have hint of the fire source.Humu kumbe tunawatu wa kila aina. Majumba mangapi ya meungua hapa mjini na kuungua moto kwa jengo mbona suala la kawaida. Halafu ofisi kama ile lazima kuwe na insurance. What is the problem mnaanza kuleta ramli zenu humu.
Hizi akili za hovyo sana, Makonda anajiandaa kwenye Wizara ya ulinzi ww endelea na chuki zakoWeka ushahidi kuwa hakuhusika
Hizi akili za hovyo sana, Makonda anajiandaa kwenye Wizara ya ulinzi ww endelea na chuki zakoWeka ushahidi kuwa hakuhusika
Una ushahidi! ama unabwatuka tu uonekana na ww umo???Grace Bashite Mugabe anajua yote!! Ugomvi , watu 2 una cost familia zaidi 300 zinazotegemea mkate wao pale!! Bashite kweli Maliyamungu.....
jipe moyoBad news, pole sana CLOUDS! Changamoto zikizidi ndo ujue uko karibu na mafanikio.
And fire extinguisherwith the absence of lubricant
FafanuaHii sio sawa yule ambaye aliundiwa tume na Nape kwa kuingia na Bunduki kwa sababu yuko juu ya sheria basi tutarajie mengi ukicheza na mungu wa dsm umegusa mboni ya jicho ya mungu wa Tanzania ....
Clouds haipo hewani inawezekana jambo hilo ni la ukweli