Giblin
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 207
- 133
Tafta shirika LA compassion that deals with releasing children in Jesus name.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hello mkuu na mimi nahitaji hizo nafasi pliiz naku pm inagoma kuja...unaweza kufanya kazi kigoma? kama unaweza tuna nafasi nyingi mkononi kwa kada tofauti na shirika halina utaratibu Wa kutangaza ni mwendo Wa kustuana, unajitolea siku 60 baada ya hapo ni Ajira.
Mkuu hizo nafasi za kigoma bado zipo?,nahitajiunaweza kufanya kazi kigoma? kama unaweza tuna nafasi nyingi mkononi kwa kada tofauti na shirika halina utaratibu Wa kutangaza ni mwendo Wa kustuana, unajitolea siku 60 baada ya hapo ni Ajira.
Ok ,thank youuuMkuu mpigie huyu mtu 0769 023 686 ni afisa maendeleo ya vijana shirika la Raleigh Morogoro, niliwahi ku-volunteer katika hilo shirika miaka hiyooo hakika nilitoka nimekua sana kiakili
Fanya kumcheki maana intake ingine ni mwezi wa 9 hadi 12 so wahi nafasi mapema
Sent using Jamii Forums mobile app
namba zangu ni 0769915326 mkuu napatikana mda wote