Ushauri wenu jamani, mume wangu hajafanyiwa tohara

Pengine style yenu ni moja tu, "kifo cha mende" gizani, maana mngekuwa na style nyingine kwa mfano "chuma mboga" aka doggy style ungeweza kumshtukia kwamba hajatahiri zamani. Halafu huwa hampapasani, denda kabla ya shughuli? Sasa mchana wa wikiendi ijayo mwambie mfanye "69" .
 
Mhhh! Sio kweli dada govinda halizuii kuchepuka kwa utafiti wangu usio rasmi nilioufanya wilaya ya Kyela 95% ya vijana wana mikono ya sweta lkn wanapakuana kama hawana akili sawa sawa isitoshe wake za watu wanagawa papuchi kama vile wana laana karibia 99% ya wanandoa wanachepuka mm niliwala sana kipindi niko huko by then walikuwa wanachangamkia sana para(rungu) langu sababu halina sweta ukweli niliwamega sana wakawa wanaisifia kuwa nitamu sana
We si Ulikuwa huogopi???? Mwenziooo aona aibu ati
 
Govi halina madhara isipokuwa linahitaji usafi wa hali ya juuu.

Kwa kuwa mwanzo alikuwa analificha lilikuwa govi lake lkn sasa hata we umeliona basi ni GOVI LENU

Hana ubishi nalo tena lisafishe we mwenyewe kisha mshauri mkalitoe.
 
Mkakati wa kuficha govi wagundulika, mwambie tu akakate ndani ya wiki tatu au nne kishapona hana tena sababu ya kujificha kwa kujifunika au kuzima taa.
Ila huyo kaka ana moyo wake jamaani yaani kashindwa kumuweka wazi aliona dawa ni kujificha ficha lol.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sidhani kama mtoa mada alikusudia kupata majibu ya kebehi namna hii ! Nadhan alitaka makada zaidi ya lugha za kebehi lakini kwakuwa kila mtu anahaki ya kuamua cha kuandika chochote it's okey!
Dada pole, tafta rafiki yake walioshibana ambaye utakuwa na uhakika kuwa amefanyiwa hivyo /tohara amshauri . Pia hata wewe unaweza kuwa change agency kwa kutumia ushawishi na nguvu za mapenzi ulizo kwake.pia iringa kuna mashirika mengi yanatoa hizi huruma za kukata waweza kuwatumia wao for cancelling
 
Yaani pamoja na kampeni zooote zinazofanyika huko nyanda za juu kusini tena wametoa ofa ya kukata bure nyie bado mmeficha huyo bwana ndani?

Ita serikali ya kijiji ebooo
Mi pia nimeshangaa sana mkuu na itakuwa kalipenda sio bure.
 
Ila una moyo wako yaani hadi kakuoa hujawahi hata kuoga naye, inamana pia havui nguo mbele yako na mapenzi yenu ni gizani tuu.

Sitaki kuamini ila kama ni kweli pole sana na hapo hakuna jinsi zaidi ya kwenda naye Hospitali ukapate kulitoa. Halina raha hilo usisikilize maneno ya watu.

Pia jiulize wanaokushauri kwamba halina shida kama ni wanaume je wao wanayo hayo magovi.
 
Unajiita "Masweta" ..naona uko na addiction nayO kweli..hivi MTU mpaka unafungua account Jf hujui hata madhara ya mkono wa sweta kweli? eti namuanzaje! so stupid..endelea nae unacho kitafuta utakipata..si anakukojoza lkn au?
Ungetumia tu maneno yenye busara/hekima usingepungukiwa na chochote ila ungekuwa umemsaidia yeye na jamii kwa ujumla.
 
Mwemwemwe, Mungu hakukosea kuweka mkono wa sweta, Leo watu wanahangaika na kondomu ukiwa na mkono wa sweta unavuta kidogo unafunga rubber band yako, twende kazini. Tayari umeweza uzazi wa mpango,
Huna haja ya salama wala dume
 
...labda aliwahi kusikia warembo hawapendi magovi au walikuwa wanamkimbia hivyo akaamua ili kupata utamu ni bora kuwa na mkakati wa kulificha la kwake ili aweze kugegeda. Mzima weye?

Ila huyo kaka ana moyo wake jamaani yaani kashindwa kumuweka wazi aliona dawa ni kujificha ficha lol.
 
Back
Top Bottom