dada mwema
JF-Expert Member
- May 16, 2017
- 212
- 158
Uwiiiiiii umeua mkuu...mbavu znguTanzania hata ukijua kusonga ugali wewe una kiwanda
Uwiiiiiii umeua mkuu...mbavu znguTanzania hata ukijua kusonga ugali wewe una kiwanda
Jorojik mbavu zngu jmn[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mfano wa kiwanda cha chini ni wheelbarrow! People should understand this..
tunasahau pia planned and surveyed land,Mtu serious hawezi kuongelea viwanda bila kuonhea kilimo cha uhakika, uvuvi, ufugaji, rasilimali watu na nishati ya umeme wa uhakika. Ukiona mtu anaongelea viwanda bila kwanza kuzungumzia haya kwa msisitizo wake. Narudia kwa msisitizo huyo hana tofauti na yule mzalendo mwenye uchungu na nchi hii mpaka kupata frastration kiasi cha kuhamisha ujenzi wa bandari bwagamoyo na kupelekwa ujenzi wa kiwanja cha ndege kwao sawa na alichofanya mzee wa speed na viwango samweli sitta.mungu atunusuru na unafiki huu wa kuunga mkono jitihada hizi za kubomoa awamu zilizopita na kufunika awamu yetu kwa kujiuzulu na kutia taifa hili hasara kubwa ya kuitisha chaguzi zisizo huru
huyo msukuma,hafanywi kituHuyo mabara achunguzwe uraia wake, anapata wapi ujasiri wa kuhoji kauli za waziri mwijage! Hajui kuwa mwijage bado anaitaka ile kazi!?
Mnunueni si styles zenuHuyo mabara achunguzwe uraia wake, anapata wapi ujasiri wa kuhoji kauli za waziri mwijage! Hajui kuwa mwijage bado anaitaka ile kazi!?
Cha kati cha kufetua watoto au !? [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni kiwanda cha kati
Sasa je, unawezaje kupata viwanda active 3006 nchini bila kuhesabu hivi vitu. HahahahahaJorojik mbavu zngu jmn[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu soma kwa umakini ameandika 1772.Karne ya 17.Muwe mbasoma kabla ya kuchangia.1972 USA ilishakuwa nchi ya viwanda vikubwa kwa kiwango cha juu wala si vikarakana! Labda china sijui
Kwake ni NzegaMabala ni mtanzania