Wakuu wana JF kuna wimbo niliwahi kuusikia miaka ya nyuma kidogo niliupenda ila simkumbuki Msanii wala Jina la Wimbo ila maneno haya yaliimbwa humo:
Kama ni watoto,
fika kwetu posa,
utawaona,utawaona
usifike kwangu utaleta fujo,
na mpenzi wangu wa sasa,tuligombana na wewe, bila kuleta kitu...