'Shimbandele' lina maana gani? Ya ngoswe mwachie ngoswe ali mradi hakuzuii kunywa maji.
Nimecheka sana lol...
'Shimbandele' lina maana gani? Ya ngoswe mwachie ngoswe ali mradi hakuzuii kunywa maji.
Ndio madhara ya elimu ya madrasa.!
Wewe usiye na elimu ya madrasa umetusaidia nini?