Msaada kwa Mwenye Kufahamu wimbo huu

Msaada kwa Mwenye Kufahamu wimbo huu

Pejos

Member
Joined
Oct 16, 2013
Posts
31
Reaction score
1
Wakuu wana JF kuna wimbo niliwahi kuusikia miaka ya nyuma kidogo niliupenda ila simkumbuki Msanii wala Jina la Wimbo ila maneno haya yaliimbwa humo:
Kama ni watoto,
fika kwetu posa,
utawaona,utawaona
usifike kwangu utaleta fujo,
na mpenzi wangu wa sasa,tuligombana na wewe, bila kuleta kitu kwetu...

Mwenye kuujua wimbo huu naomba anifahamishe ama yeyote anao anasidie hapa.
Nawasilisha.
 
Huo wimbo ni generak defao matumona.unaitwa kolsa.sijui kama nimeandika vizuri.ila lililo hakika ni wa defao akimshirikisha suke chille.
 
Huo wimbo ni generak defao matumona.unaitwa kolsa.sijui kama nimeandika vizuri.ila lililo hakika ni wa defao akimshirikisha suke chille.

Asante sana Mkuu, nitautafuta
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom