Recent content by pejohn

  1. pejohn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchepuko wa Kikorea umeng'ang'ana nirudi nao Tz

    Inagusa kiukweli ila binafsi ningekuja nae Tz tu mambo mengine ningeumiza bichwa
  2. pejohn

    JamiiForums Tanzania Muuguzi adaiwa kumpiga mgonjwa wakati akimuhudumia jijini Mbeya

    Alichokifanya nesi ni sawa tu make mama yule angeua mtoto ni kesi ya nesi sema tu yule mama kaona ashitaki hata hivyo yule mama umri umeenda sana inawezekana alikuwa anazingua kweli. Lakini haina noma kwa vile kala vibao ila hajafa.
  3. pejohn

    JamiiForums Tanzania Madereva wa Subaru Mna Matatizo Gani?

    Mleta mada ahsante kwa elimu
  4. pejohn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii si haki kabisa, mke wangu ananitesa kitandani

    Ushauri safi huu
  5. pejohn

    JamiiForums Tanzania Chakachua Poweramp kwa hatua hizi

    Nashukuru Chief
  6. pejohn

    JamiiForums Tanzania Chakachua Poweramp kwa hatua hizi

    Samsung S3 mini Android 4.1.2 nikitumia kingroot inafika 70% ina fail. Msaada plz
  7. pejohn

    JamiiForums Tanzania Casting to analogue tv bila gharama.

    Huyu jamaa bhana
  8. pejohn

    JamiiForums Tanzania Sababu zinazopelekea Jasusi (Spy) kuisaliti nchi yake

    Hela au kifo?
  9. pejohn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nakuja mwona mtoto na ntalala hapo

    Vipi hajafika bado?
  10. pejohn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini hakunieleza kama ameolewa hadi nabondwa kama mtoto?

    Shukuru umepata nguvu ya kuanzisha thread, la sivyo ungebadili first name.
  11. pejohn

    JamiiForums Tanzania Thread maalum ya kuweka Links za michezo za kuangalia Online hususani mpira

    Easy, andika tarehe ya mechi utaiona hata kama huna bando
  12. pejohn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dada wa kazi akimweleza mume wangu siri hii, sina ndoa tena

    Tena ikibidi huyo house girl awe anakupiga makofi kila siku
  13. pejohn

    JamiiForums Tanzania Mabibo tupo gizani! Kwenu je?

    Kwetu tumewasha kibatari kwani ata umeme wenywewe haujafika
  14. pejohn

    JamiiForums Tanzania Pikipiki za honda zinauzwa

    Mkuu kitu SANLG 125 nilitembea km 424 bila kuipumzisha. Mchina shikamoo.
  15. pejohn

    JamiiForums Tanzania Diamond, ni nani kakwambia Sumaye na Lowassa ni kabila moja?

    Dmond alipotumia advantage ya kuwa na mdomo mkubwa kuimba nyimbo nzuri bila shaka wote tulikuwa nyuma yake ila pale anapoutumia mdomo ule ule kuleta uchochezi wa ukanda na ukabila hatuna budi kumwambia anapotea
Back
Top Bottom