Thread maalum ya kuweka Links za michezo za kuangalia Online hususani mpira

Unatumia mtandao gani? Mimi nimejaribu voda,tigo,airtel. Yote tabu tupu. Ila Haloteli mwisho wa matatizo nacheki mechi mpaka raha.Jaribu Halotel hutajutia
Natumia Halotel kuna muda inazingua, na huwa unaweka bando lipi
 
windows phone.....
Mkuu sio mtaalam Sana wa mambo haya, ila nlivyoona swali lako likikosa majibu Na vile natumia windows pia, nikazama google kuuliza the best app for live football watching, nikaambiwa ipo Ni mpya Na Bab kubwa inaitwa Flash sports, Ni ya kulipia but Kuna trial ya muda kidogo, nime download nikacheck Na game ambazo zipo online sasa, nimecheck mieleka online, uzuri Na michezo kibao, hafu Ina features nyingi, Kama Kuna game zinachezwa at the same time, unaweza kurecord moja then Ili ucheck baadaye! Iko poa Sana! Nenda windows store inapatikana.
 
shida yao ni hiyo app ya bure android eti kwa microsoft inauzwa.
tena simple app...
 
hyo flash sports ni nzuri san ila kwa mwenye kujua jinsi ya kulpia huduma zao baada kumalza free trial ya 7 days msaada tafadhali... Pia nimeona kna shm ya chalenges unapewa point ambazo ztakuwa znakuwezesha kustream free ambae bado aja2mia jaribu hii k2 iko poa[/QUOTE]
 
Doctor nko hapa....ingia firstrow.com itakupa mechi zote mkuu, simple method ni youtube type mechi unayotaka kuiangalia, ila lazma uandike live....eg Chelsea Vs Man U live
 
Mimi natumia window phone,nenda kwenye store tafuta application inaitwa #World Tv Ina channels nyingi Sana za mpira ,movie,cartoon,na pia za tz.
Thanks mkuu, nimeona channel nyingi Sana ikiwemo bein sport. Changamoto nilioona Ni kuhusu ratiba za mechi.
Hapo unajuaje mkuu au inabidi kujaribu kila channel mfano Leo yanga inaonyeshwa cannel gani.
 
Thanks mkuu, nimeona channel nyingi Sana ikiwemo bein sport. Changamoto nilioona Ni kuhusu ratiba za mechi.
Hapo unajuaje mkuu au inabidi kujaribu kila channel mfano Leo yanga inaonyeshwa cannel gani.
Ya yanga sijajua ila unaweza kujaribu kuangalia channels za kiarabu but sina uhakika Kama zitakuwa zinaonesha hiyo mechi
 
Wadau ninaomba kufahamu kama kuna jinsi yoyote ya kuweza kuangalia mechi ya mpira online kupitia youtube
 
Ingia Google andika neno adthe then follow instructions utacheki games zote laivuuu bila chenga hakikisha una bando ya kutosha
 
Back
Top Bottom