Hii si haki kabisa, mke wangu ananitesa kitandani

Ntandaba

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
922
1,472
Heshima zenu wakuu!
Kwa ufupi nimechoka namanyanyaso ninayofanyiwa na huyu mke.Ni zaidi ya juma moja kila siku ananilazimamisha nifanye kile kitu inameza mwenzake(kugegedana).
Kiujumla nimejikuta nakonda ghafla na hata ufanisi wa kazi zangu zimepungua sana yaani usiku na huona mchungu na hata kitanda pia nakiona cha moto
Naombeni ushauri kwa magwiji wote wa mambo hayo
 
Heshima zenu wakuu!
Kwa ufupi nimechoka namanyanyaso ninayofanyiwa na huyu mke.Ni zaidi ya juma moja kila siku ananilazimamisha nifanye kile kitu inameza mwenzake.
Kiujumla nimejikuta nakonda ghafla na hata ufanisi wa kazi zangu zimepungua sana yaani usiku na huona mchungu na hata kitanda pia nakiona cha moto
Naombeni ushauri kwa magwiji wote wa mambo hayo
sasa wewe badala ya kumpertipeti my wife wako, halafu ukamwambia kwa my lovely wife nachoka..nihurumie , wewe unabakwa na huyo mkeo halafu unakuja jeif kulalama mwenzio anajua unafurahia atii ,mwambie mkuu aza waiz magoti yatakulegea sex ni kwa afya sio adhabu asee
 
Hiyo ni dalili tosha kuwa hausimamii ukucha inavyotakiwa. Maana ungekuwa unasimamia inavyopaswa angekaa mbali na wewe hata wiki nzima akisikilizia. Wengine kila siku tunagombana na wanawake zetu kisa hawataki kutoa papuchi nawewe unalialia hapa. Kweli hivi vyakula vya kula kwa uma na toothpick zinaangamiza kizazi. Una miaka mingapi kwanza mkuu?
 
Ndiyo nini hicho?

Unataka ushauri halafu unaandika kipumbavu.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Tambua kuwa si mambo yote ya ulimwengu hufundishwa shuleni pia maana ya maneno huweza kuipata kutokana na muktadha na mada husika.Pia nimeomba ushauri kwa "magwiji" kwa hiyo kama si gwiji unaweza uka-view thread na kuondoka tu
 
Hata kama ni Mwanaume wa Dar..wewe sijui unatokea mtaa gani? Unachoka kumnanii mkeo? Au wapo wangapi wakushinde?
 
Ungekuwa kwetu ambao tumeruhusiwa kihalali kuoa 4 ungelifanyaje? Kila siku 24/7/52 unadaiwa haki sawa kwa wote. Si ungeuhama mji weye. Kweli dunia ina mambo. Na unalalama ati nishaurini nifanye nini. Hamia kwetu, tukuongezee mke huenda ukazugha kuwa mwenzio kaniumiza jana
 
Ushauri safi huu
 
Back
Top Bottom