Recent content by Pededje

  1. Pededje

    JamiiForums Tanzania Nilihukumiwa kwa kumpa mimba mwanafunzi ila nimeumia kwa hiki kilichotokea

    Iwapo uliachiwa kisheria, unaweza ukamshtaki huyo aliyefungua shtaka dhidi yako akakulipa fidia kwa miaka sita uliyosota hela. Ni mpunga mrefu mkuu.
  2. Pededje

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Victoria Kimani

    Victoria Kimani is more famous in Tanzania than in Kenya.
  3. Pededje

    JamiiForums Tanzania Tupeane mbinu za kujikinga na wezi kariakoo. Nimechomolewa wallet ina elfu 80/-

    Chukua wallet usiotumia, kata karatasi tia ndani Kisha weka mfuko wa nyuma, mwambie rafiki yako mliyenaye atembee nyuma yako, mwizi mtamwona tu.
  4. Pededje

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi Wema na Zari huwa wanapenda au ni Malaya tu?

    Mi ninayemwona Malaya ni JWolpar
  5. Pededje

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, hana muda wa kuwasiliana na mimi

    Busy men behave that way, idol men call every time. Ameshakwambia atakuoa, mbona pupa?
  6. Pededje

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana kwa msichana aliyepo chuo kikuu 2nd year kuwa bado ni bikra?

    Dhibitisha bwana
  7. Pededje

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemkopesha pesa, baada ya kunipa penzi kagoma kunilipa

    What you did is ethically wrong, Forget about it.
  8. Pededje

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nivumilie - Baraka da prince ft Ruby

    Mi skubali arudishe magari, maisha magumu.
  9. Pededje

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawachukia wanaume

    Dadangu hata wenye magari hupanda daladala. Pole kwa msiba
  10. Pededje

    JamiiForums Tanzania Computer Application

    Nafundisha computer Application packages zote, Ms Word, Excel, Access, Publisher, Windows n.k Bei nafuu.
  11. Pededje

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msichana wa mshikaji wangu hapendi kuoga

    Ni mchumi aisee Kwan mchagga ?
  12. Pededje

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi kweli kwa mama mzazi wa mpenzi wangu kuniambia anaharisha?

    Ungemuuliza mara ngapi kwa wiki, kama ni mara 62...........
  13. Pededje

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shemeji ananitaka au mawazo yangu tu?

    Haya yote madhara ya kutofanya kazi, tumchague Magufuli jamani, Hapa kazi tu?
  14. Pededje

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba ninayetarajia kumuoa ni mlevi, nifanyaje?

    Tafta msabato
  15. Pededje

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna ubaya gani kumpa zawadi hii?

    Anapenda kupewa, hapendi kujitaftia.
Back
Top Bottom