Shemeji ananitaka au mawazo yangu tu?

Shemeji ananitaka au mawazo yangu tu?

yaaaan mcheka na nyani huvuna mabua sasa ww endelea kumchekea alafu utakuja hapa tena kuomba ushauri kama umpangishe nyumba au laah maana hapo home haitawezekana kuishi na dadake ambae ni mkeo
 
wadau nipo nyumbani kwa takribani mwezi sasa baada ya kumaliza mkataba wangu na kampuni flani.sasa hapa nyumbani ninaishi na wife na kidi wangu wa miaka 3..na nimekuta wife kamleta mdogo wake wa kike ambaye amemaliza chuo mwaka jana anasubiria ajira,sasa wadau wife wangu ni mfanyakazi so mida mwingi anashinda job,mimi nipo tu home na shemeji yangu,kid anapelekwa shule asubuh mpska jioni.shem huyu wadau ni mrembo sana ana figure matata sana na ni mzuri kwa kweli..yani mitihani ninayoipata ni mikubwa sana..mana nguo anazo vaa zinaonenya umbo lake namba 8 lilivyo,juzi asubuh nilikuwa nimelala akagonga chumbani kwangu anatafuta kitu wakati kavaa khanga tu.jamani naombeni ushauri wenu nifanyaje je?maana uzalendo unaelekea kunishinda asee.maana sasa imefika wakati naliota umbo lake na uzuri wake nimechanganyikiwa.naombeni ushauri weni wadau.

asanteni

Naona leo takribani miezi minne ipite toka ulete uzi huu, sasa nakuomba ulete mrejesho mmefikia wapi na shemeji yako-umeshamtumia au bado anakutega tu na hujanasa kwenye mitego yake?
 
Mzizi wa tatizo ni kushinda home. Ungeliona hili ni tatizo Kwanza ulipatie soln. Nssf na kitega uchumi Sio excuse ya kushinda hm. Kwa nini usishinde kwenye hicho kitega uchumi ili ukakiboresha. Utavunja ndio yako mkuu unless you don't care.
 
Muulize yeye mkuu.Yan hadi unafkia umri huo,umeoa na una mtoto,tena wa miaka mi3 alaf bado unakuwa muoga??

Hebu mfate muulize "Shemeji unanitaka au mawazo yangu tu?"
 
Naona leo takribani miezi minne ipite toka ulete uzi huu, sasa nakuomba ulete mrejesho mmefikia wapi na shemeji yako-umeshamtumia au bado anakutega tu na hujanasa kwenye mitego yake?

We ndo unamtaka, ulipokua unaoa c ungetafuta anaewazidi wote umbo????
Tamaa yako inakufanya uctulie kwenye ndoa yako.
Mungu akusaidie.....
 
ndugu yangu achana na shemeji yako. Trust me;endapo mtafanya uzinzi, hiyo zambi itakutafuna siku zote za maisha yako. Utabaki na psychological wounds throughout ur life. Utajuta na kusaga meno, yaani ni bora uchapuke outside.!!!!!! ,Halafu hapo nyumbani kwako, hana mipaka? Shemeji yako ataingiaje chumbani kwako mnapolala ww na mkeo?! Lazima muwe na mipaka na kuheshimiana
Nimekupenda sana momo j. Ushauri mzuri sana lakn utashangaa anafata ushauri uso na maana kwake.
 
akiitaka mpe akiomba mpe akibisha hodi tena mfungulie mkaribishe chumbani kitandani
 
Kweli asiye na makucha ndiye anayepewa upele
Sasa kinachokufanya hadi leo USIPIGE ni nn?Huyu jamaa sio striker hata kidogo!
Striker kama Watu 8 angekuwa kaisha tupia kambani hata mara 7 sasa

Piga acha kulemaa
 
Last edited by a moderator:
We ndo unamtaka, ulipokua unaoa c ungetafuta anaewazidi wote umbo????
Tamaa yako inakufanya uctulie kwenye ndoa yako.
Mungu akusaidie.....
Achana na huo ujinga utaatarsha ndoa yako na utamfanya huyo bnt akuzarau na amzarau dada yake mapenz yana upofu mdogo mtu achelew ata kumpa sumu dada yake achana na huo upuuz kaka majuto ni mjukuu hakika utarud apa ukiwa umechanganyikiwa...vile vile mshauri mkeo amshauri dogo awe anavaa mavaz ya heshma na asiingie chumbani kwenu
 
Hata wewe unatamani sema domo zege tu.yaeezekana hiyo pia so acha ulofa wa kukaa home kisa huna job dume zima.
 
Haya yote madhara ya kutofanya kazi, tumchague Magufuli jamani, Hapa kazi tu?
 
Back
Top Bottom