Mchumba ninayetarajia kumuoa ni mlevi, nifanyaje?

Mchumba ninayetarajia kumuoa ni mlevi, nifanyaje?

Mimi ni kijana ambaye natarajia kuoa karibuni but mchumba wangu tuna kama mwaka mmoja hivi ila tatizo ni mlevi na mimi situmii kabisa pombe na cha ajabu nilikuja kujua tayari tuko ndani ya mapenzi mpaka sijui nifanyeje.

Msaada please

Muoe! For real ni Bora ukaishi na umpendaye kwani ni rahisi kumsamehe, kumtetea na utaishi maisha ya furaha kuliko kuishi na usiyempenda.
Ishi na mtu unayempenda kwa moyo wako wote,
Ni Bora ukaishi na umpendaye hata kwa muda mfupi kuliko kuwa na mtu maisha yote usiyemfeel kabisa.
Never settle for less.
Weka ndani pombe ataacha, kwani alizaliwa anakunywa pombe??
 
Kwanza anakunywa kidogo au ankunywa mpaka soo km anakunywa alafu anazua mengine piga chini
 
Uwe unamnunulia pombe kila siku😀😀
 
Mimi ni kijana ambaye natarajia kuoa karibuni but mchumba wangu tuna kama mwaka mmoja hivi ila tatizo ni mlevi na mimi situmii kabisa pombe na cha ajabu nilikuja kujua tayari tuko ndani ya mapenzi mpaka sijui nifanyeje.

Msaada please
Mpeleke bar , mnunulie kinywaji kabla hajalewa mwambie kwa vile una penda pombe zaidi ,nimeamua kukuleta baa na kukupiga buti
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom