Nilihukumiwa kwa kumpa mimba mwanafunzi ila nimeumia kwa hiki kilichotokea

We si kapuku? Tulia uangalie plan zingine. The world is not fair! Pole sana kwa janga hilo
 
Dawa ya moto ni moto tu...walikuumiza na kusababishia matatizo makubwa.
Kama ulifungwa kwa kumtia mimba na mtoto mwenyewe umeambiwa si wako basi mroge huyo mtoto awe chizi mkose wote na wao wapate kujua uchungu wa matatizo.

Achana kabisa na hizi Stori oooooh eti msamehe tu mungu atakulipa..dawa ya ubaya ni ubaya tu.

Walikuharibia na wewe waharibie tu Maaana hapo ulipo huna cha kupoteza tena.
 
Kadai fidia wewe acha uwoga.mtoto kafanana baba yake huo ndio ushaidi tosha.kwasiku uliyokaa jela inatakiwa ulipwe yote.acha ufyenge
 
Dawa ya moto ni moto tu...walikuumiza na kusababishia matatizo makubwa.
Kama ulifungwa kwa kumtia mimba na mtoto mwenyewe umeambiwa si wako basi mroge huyo mtoto awe chizi mkose wote na wao wapate kujua uchungu wa matatizo.

Achana kabisa na hizi Stori oooooh eti msamehe tu mungu atakulipa..dawa ya ubaya ni ubaya tu.

Walikuharibia na wewe waharibie tu Maaana hapo ulipo huna cha kupoteza tena.
Ushauri gani kwa kifyenge? Akaloge ndio nini
 
Ni ujinga wa hali ya juu sana kueleza ulitoka jela kwa njia za kiganga. Hayo ni mambo nyeti kwanini uyaweke hadharani!!
 
Unesema wazazi wako walienda kwa mganga na kuachiwa ndani ya miaka 6 badala ya 30...

Rudi tena kwa mganga kwa swala hili...

Cc: mahondaw
 
Naomba nikutukane mimi Pumbavu kabisa yaani ujumbe mzima umeona hicho umeshindwa kutoa ushauri we Kenge kweli.
Kenge wewe unaeshindwa kuandika hata lugha yako ya kiswahili!Si ajabu ulitiwa hatiani kwa kushindwa kujitetea vizuri,maana kama uandishi ni huu,basi yamkini pia kuongea una matatizo
 
Kuanzia neno la kwanza hadi la mwisho katika andiko lako hujaweka nukta wala koma,yaani ni kwamba umeandika sentensi moja kuuuuuubwa sana.Ila pia maneno mengi umeyakosea sana,kwenye "L" unaweka "R" na matumizi ya "H" pasipotakiwa,hii inaleta tabu kwa mtu kuelewa vizuri ujumbe uliokusudiwa
Yaani huyu jamaa ndio maana hata hakuona kama elimu ni muhimu kwa huyo binti.
 
TAFUTA hela KIJANA achana na ma la ya. Ukiona vipi mtumie Miganga aliyekutoa umnyooshe hiyo cha ngu doa.
 
Iwapo uliachiwa kisheria, unaweza ukamshtaki huyo aliyefungua shtaka dhidi yako akakulipa fidia kwa miaka sita uliyosota hela. Ni mpunga mrefu mkuu.
 
Habari za sahizi wanajamvi mnamo mwaka 2011 nilikutwa na hatiya ya kumpa mimba mwanafunzi wa kidato cha nne nikahukumiwa kifungo cha miaka 30 kwa mujibu wa mahakama walivyo hamua shauri hilo nilienda jela
Kutumikia kifungo hicho ila baada ya miaka sita wazazi wangu walienda kwa mtahalamu nazani mmeherewa (walienda kwa mganga) nikifanikiwa kuachiwa kwa mazingila ya kutatanisha sana na kuludi uraiyani ila sasa kilicho niuma nikamkuta yule binti anaishi na mwanaume mwingine na nilipo fanya uchunguzi ndio mwnye yule mtoto na amefanana nae sula na kila kitu sasa cha kushangaza zaidi nilipo enda kumdai mtoto wangu nilicho jibiwa na yule mwanamke pamoja na wazazi wa mwanamke kuwa yule mtoto sio wa wa kwangu wala sina haki yangu pale pia kauli walio sema wazazi wa mwanamke mimi nilikuwa chambo tuu kwa sababu sina kitu(kapuku)

je kisheria ipoje naombeni msaada watahalamu wa sheria

Asanteni sana mawazo yenu yanaitajika
brother naomba email yako tuwasiliane mdogo wang amenyinwa dhamana
 
Back
Top Bottom