yule mkulu wa BOT wa sh bil 21 amekamatwa gerezani akiwa na simu nokia ya tochi akiwasiliana na kigogo kuomba amfanyie mpango wa kutoka gerezani na hivyo kafikishwa jana kituo cha polisi Sitakishari Ukonga
source Wapo Radio Patapata
Watanzania kama tuliweza kula majani kipindi cha waziri Bazil Mramba tukanunua jet ya Mbayuwayu
ambayo inaruka toka Dar na kutua Kampala wakati destination ni KIA, inakwenda xafari ambazo zinaleta bill
kubwa kwenye matumizi ya hizi mbayuwayus, natumaini yatupasa sasa hivi tule majani
ili...
Watanzania kama tuliweza kula majani kipindi cha waziri Bazil Mramba tukanunua jet ya Mbayuwayu
ambayo inaruka toka Dar na kutua Kampala wakati destination ni KIA, inakwenda xafari ambazo zinaleta bill
kubwa kwenye matumizi ya hizi mbayuwayus, natumaini yatupasa sasa hivi tule majani
ili...
Naunga mkono hoja kwa sababu mkoloni akirudi yatajiri yafuatayo,
FAIDA----
Atajenga reli za kisasa na kuleta treni za umeme kumrahisishia usafiri
Atajenga viwanja vya ndege vya kisasa na kuleta Boeing mpya
Atajenga barabara za kisasa flying over za kutosha
Atajenga bwawa kubwa linaloanzia...
Kwa mtazamo wangu, napenda kumshukuru na
kumpongeza Jemedar Jairo D. kwa msaada wa
kutatua tatizo la mgao wa umeme kwa
kuzichangisha idara zake za wizara za nishati
na madini kupitia gamba jepesi Ngeleja, kwa
mahesabu ya haraka ni kwamba tukitumia
the so called...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo kupitia Naibu mkuu wa kambi ya upinzani Mh Zitto Kabwe wameonyesha uvumbuzi, ujasiri, uzalendo na uchungu wa matumizi mabaya ya fedha za serikali zinazodidimiza maendeleo ya nchi. Tatizo linakuja kwa jamaa wa magamba watakuwa na uzalendo wa kuiunga mkono hoja...
Kwa Takwimu zilizotolewa jana zinaonyesha kwamba Tanzania ni nchi ya kwanza AFRICA, na ni nchi ya kumi DUNIANI inayotegemea misaada toka kwa wahisani,
na kasi ya kutegemea wahisani inazidi, wakati Kenya ikipunguza kasi hiyo kwa kupanda kwa uchumi na kusimamia vyanzo vya mapato.
kwa mtaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.