Jemedari Jairo David-Hongera sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jemedari Jairo David-Hongera sana

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by peacebm, Jul 22, 2011.

 1. p

  peacebm Member

  #1
  Jul 22, 2011
  Joined: Jan 31, 2010
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa mtazamo wangu, napenda kumshukuru na

  kumpongeza Jemedar Jairo D. kwa msaada wa

  kutatua tatizo la mgao wa umeme kwa

  kuzichangisha idara zake za wizara za nishati

  na madini kupitia gamba jepesi Ngeleja, kwa

  mahesabu ya haraka ni kwamba tukitumia

  the so called JAIRO FORMULAE

  2DAYS =EANRS 1BILION COLLECTED BY 1 MINISTRY

  then 40 ministries=will collect 40billions

  kwa mahesabu ya haraka tukiziambia hizi wizara

  zikusanye pesa WITH 3 SEMESTERS PER ANNUM

  then kwa kila mwaka hizi pesa tutaziweka kwenye

  project ya kuchimba bwawa kubwa la kuzalisha

  umeme nadhani kwa miaka mitano hili bwawa

  litakuwa limekamilika na tatizo la umeme

  litakuwa limekwisha, naomba Gamba kuu atumie fomula hii kuiokoa nchi kwenye gza

  naomba kuwasilisha
   
Loading...