Kula majani kwa wananchi ni lazma sasa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kula majani kwa wananchi ni lazma sasa!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by peacebm, Aug 30, 2011.

 1. p

  peacebm Member

  #1
  Aug 30, 2011
  Joined: Jan 31, 2010
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watanzania kama tuliweza kula majani kipindi cha waziri Bazil Mramba tukanunua jet ya Mbayuwayu

  ambayo inaruka toka Dar na kutua Kampala wakati destination ni KIA, inakwenda xafari ambazo zinaleta bill

  kubwa kwenye matumizi ya hizi mbayuwayus, natumaini yatupasa sasa hivi tule majani

  ili tuchimbe bwawa la kisasa la kuzalisha umeme ili tusiendelee kudanganywa na MEGA------WHAT?

  Wakati umefika na bwawa tulisimamie wenyewe nashauri kodi ya kichwa iletwe kufanikisha zoezi

  hili kwasababu kodi tunayochajiwa sasa ivi kutoka kwenye manunuzi ya sembe, soda, sukari,.......hatuzioni kuchangia maendeleo
  naomba kuwasilisha.,

   
 2. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  ile ilikua kula majani kwa faida ya viongozi ingekua tunatakiwa kula majani ili kila waziri anunuliwe BMW X6 ungeona wangefanya hvo mara 1
   
 3. p

  peacebm Member

  #3
  Aug 31, 2011
  Joined: Jan 31, 2010
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kweli hawa viongozi wanaangalia maslahi yao tu
   
 4. Ze burner

  Ze burner JF-Expert Member

  #4
  Aug 31, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  VIOO ---------- but -----------NGOZI
   
Loading...