CUF: Ni wapinzani au watawala?

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,684
8,832
Hiki chama sikielewi kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kwa upande wa bara ni wa pinzani ila kwa upande wa Zanzibar ni watawala. Ila Msekwa kasema hakuna chama tawala, bali wanaongoza ktk mfumo wa vyama ving.
 
lgunga, ccm imeingiza timu mbili, Chadema kazi wanayo
 
cuf ndicho chama pekee tanzania kinachoweza kupambana na ccm vyama vingine cdm nccr tlp ni kampuni za viongozi.
 
Angekua ni mwanamke tungemuita malaya,
Yaani hana bwana mmoja!!
 
cuf ni branch ya ccm kwahiyo jibu mnalo sizani kama mwembe unaweza kuwa na tawi la mpera
 
Kataa CCM kataa CUF hawa ndio wana spoil maendeleo yetu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom