Recent content by Pazi

  1. P

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    vp mnasubiria Penalt? imetoka hiyo kesho mkiamka mtakuwa na kikombe cha Kunywea Chai!
  2. P

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hongereni Arsenal!! rubaman hongera angalau Mmebeba yule jamaa etu haliyake mbaya bado kombe lao nafasi ya nne akija kubeba Europa tutakoma.
  3. P

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    heshima wanayo ila kiburi tu kinawasumbua hahaha wakatizame History ch hawana jipya humu tehteheh. LFC Bingwa YNWA!!!!! mbio zao ni na Sheffield U,Wolves wakitizama Chelsea wanawakimbia hahahahahah!!!
  4. P

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    katika Room sina matatizo nayo ni Hii ila nawakumbusha Mabingwa Ni Liverpoolfc sababu ya kuwakumbusha msikate tamaa mmeona tulikuwa tukishangilia kipindi gani cha shida na raha mpaka leo heshima imerudi YNWA!
  5. P

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    yah ila kiboko yao wa Mafanikio Uengereza ni Liverpoolfc Number haziongopi.
  6. P

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Kwanza Namshukuru Klopp ahsante sana kwa kuturudishia heshima na itaendelea hiyo ndio LiverpoolFC nawapa pongezi mashabiki wenzangu pia wa Jamiiforum sie ndio tunajua furaha yetu ipo vp haijalishi furaha ni furaha tu wacheni wanaojifanya kujisahaulisha waendelee ila wanaona Mabingwa wa Uengereza...
  7. P

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    LiverpoolFc Mabingwa lazima watuite Mabingwa tumebeba makombe sio Kombe Makombe raha sana wale jamaa zetu wakatizame tu History ch hiI za sports tupo sie tu Mabingwa!!!!!!
  8. P

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Swaalamaaaaa humu Manchester United??? tunawasalimia tu LiverpoolFc au Mabingwa msisahau kusema Mabingwa tusivunjiane heshima nyie mnaweza kwenda kutizama History ch hizi za Sports tuachieni kwa sasa tehtehetheteh!!!!
  9. P

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Ndio Maana yake tukubali tu matokeo ligi ifutwe watu waanze upya kwa Maoni yangu kupewa Kombe LFC isikubali. Ligi iendelee au ifutwe ikifutwa tutakubali matokeo, ikiendelea haki pia imetendeka viwili hivyo ndio vipo sawa. ila sio kutangazwa Bingwa wakati ligi haikukamilika.
  10. P

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    tulia usijali haya Klopp aliyajua yanaweza kutokea kupiteza hata game tatu ila hakutegemea kwa Watford safari hii tulikuwa tunashinda ila kwa tabu sababu players ndio walianza fikra nao za kucheza kwa kutotaka kupoteza, ndomana mpira unakuwa pasi za taratibu sana na zinakuwa kwa mabeki then...
  11. P

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Klopp namuaminia sasa wachezaji utaona mpira ule wa malizia LFC safari hii walikuwa wanacheza Mpira nyuma sana Dyk na wenzake na mabeki wa pembeni na kunyanyua mpira ndomana ikitokea goli basi ni yale ya imesobdoshwa moja bao sasa hivi nyuma watatulia game itachezwa na Midfield then...
  12. P

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Tulia kijana onyesha sehemu mie binafsi nimesema tutamaliza bila kufungwa? sasa tizama watavyocheza mpira ule unaotakiwa wa Mane,Firminho,Salah kule mbele sasa timu ipo free wakati tunaenda kubeba Kombe nyie mtaendelea kushindana na Burnley msahau kusikia Kombe La Uefa sehemu rahisi la kuliona...
  13. P

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    nakubaliana na wanasosema LFC ilikuwa haina fikra ya kutofungwa japo wachezaji walikuja kuwa nayo sabababu media bdio wenye kuongea hayo zaidi, mpaka wachezaji wa LFC wanaweza kuwa wakawa nayo ndomana walikuwa wanacheza pasi za taratibu, ila mashabiki wa LFC wanafikiria kombe zaidi, sasa ile...
  14. P

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    leo Kipigo kimeumiza kweli ila nayo Bora sasa kushinda game zilizobaki tukabebe kwa City. kilichouma leo sio kufungwa tu ni tumeanza kuipenda Aston Villa na vitimu kama Watford na westham zinashinda mbaya kwa Sammatta mwakani atajikuta daraja la kwanza. na tunao hakuna timu mbaya kucheza nazo...
  15. P

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    sio hilo tu tulikuwa tunasajili hata sie kwanini hajanunua flani, siku hizi Klopp hata akitaka kumsajili Pazi humu hakuna ataelalamika atamuaminia tu kama Pazi atakuja kuwa mkali, tehteh! watu walianza oh City inatimu tatu sasa hivi kimya mara oh wachezaji wao wameumia sie wetu ndio hawaumii au...
Back
Top Bottom