Recent content by Paspii0

  1. Paspii0

    Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Maini,milki,filets,chips,chicken, lollipop,... shwaaaaaa tarehe 37 wa 9..... Kila la heri kwenye shughuli za ujenzi wa Taifa
  2. Paspii0

    Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Moshi mweusi unaonekana hapa kibirizi
  3. Paspii0

    Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Nimevunga sana wanangu ngoja niwasalimie hahaha
  4. Paspii0

    Ahmed Assas ana hati ya kusafiri ya kidiplomasia kwa hadhi ipi aliyo nayo? Nchi imeoza hii

    Yamkini mchango wake kwa taifa ni kubwa ,maybe katika kuutambua
  5. Paspii0

    Mikoa ya kanda ya Ziwa na Magharibi hakuna vyuo vya degree vya Sheria wala sayansi, Serikali imetusahau?

    Mwanza kuna Chuo kikuu cha Mtakatifu Agustino SAUT,Mwanza kuna chuo kikuu Bugando, Shinyanga kuna chuo ,Campus ya Chuo cha ushirika Moshi .!
  6. Paspii0

    Je, hili jina linafaa kwa mtoto wa kiume ?

    Kama atazaliwa mwezi wa nane muite Octavian (octava means nane)
  7. Paspii0

    Je, hili jina linafaa kwa mtoto wa kiume ?

    Hao ni kina John ,lakini sababu ya bibi zetu ,na kina shangazi kushindwa kuyatamka hayo majina wanaamua kuwaita Johani .. Same na Christopher wanawaita Tofa.!
  8. Paspii0

    Kwa degree hizi za chatgAI kuna watu huko kazini watashindwa kuoperate mashine

    Mashine zenyewe ni computerised, zinafanyakazi kama hzo search engine zilivyo kwahiyo, lazima mitaala iboreshwe iendane na wakati uliopo,
  9. Paspii0

    Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Usijekuwa umeshaumaliza we
  10. Paspii0

    Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Hapana Hapana labda kama kuna sababu nyingine, maana intake yangu ,same institution hakuna aliepanda
  11. Paspii0

    Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Basi kimeshanilamba,
  12. Paspii0

    Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Hivi wakuu ,kupanda madaraja huwa ni miaka mingapi ukijumlisha na ule mwaka wa probation???, ma-HR na wengineo naombeni mwelekezo
  13. Paspii0

    Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Huu uzi uwekwe password kila mtu a log-in kwa ess na check number,naona wengine mmegeuka vifutu, hio laki 5 mnayoizalau ndio wazazi wa wengi walisomeshea watoto
Back
Top Bottom