Recent content by papaa2015

  1. papaa2015

    Mtaji wa 800,000/- unaweza kukutoa kimaisha

    hili ni jukwaa la ujasiriamali na lengo ni kubadilishana mawazo,mi nadhani kama ni wazo zuri na umeamua kutushirikisha hakuna haja ya kupiga simu.Iweke hapa tubadilishane mawazo,kwani ni siri?
  2. papaa2015

    Mwisho wa mwaka umekaribia, tujadili sehemu nzuri za kupumzika na familia na wapenzi wetu

    Kwa aliyesema Matema beach Kyela,ni kweli ni moja ya sehemu nzuri sana sema iko mbali
  3. papaa2015

    Behind the scene ya kifo cha Msichana Betty Ndejembi na Mitandao ya Kijamii - cyberbulling

    kibao,swala si kuwamwaga hapa mkuu bali ni kuwa na kampeni ya kupiga vita
  4. papaa2015

    Behind the scene ya kifo cha Msichana Betty Ndejembi na Mitandao ya Kijamii - cyberbulling

    wako wengi ambao wamekuwa wakijitaftia umaarufu kwa kutoa matus na kutaka kuogopwa.Ni wakati muafaka sasa tukafahamu kuwa hili ni janga ktk jamii na kuanza kuwakemea au kutowapa nguvu ktk hilo.....tunawajua
  5. papaa2015

    Basi la Moro Best limepata ajali

    poleni sana majeruhi wote na Mungu azilaze roho za marehem wote mahali pema
  6. papaa2015

    Wamama na Wadada wa Saloon, tusugueni polepole

    saloon kama hiyo iko wapi,mbona mi sijawahi ona haya....
  7. papaa2015

    Vietell Tanzania inatafuta wafanyakazi 784 katika nafasi tofauti

    jamani japo ajira zimekuwa ngumu lakini tusishindwe kuona picha mbele yetu,kwanza tujiulize maswali machache; Kampuni kubwa kama ya simu haina website. Toka waanze kujitangaza,nani amewahi kusikia ofisi zao zilipo Je,toka mwanzon mwa mwaka nilipoanza kuwasikia,mmewahi kusikia aliyepata kazi au...
  8. papaa2015

    Please natafuta girlfriend hapa JF

    maswanglish
  9. papaa2015

    Onyo kwa wanaochukua wake za watu

    mh! kwa uandishi huu ni kama kuna kitu kimemtokea mwandishi.....ahaaaaah Haya ndo maisha na hawa ndo binadamu.....kazi kweli kweli
  10. papaa2015

    Kwanini mwanamke ukishamtumia kwa mara ya kwanza siku nyingine hasumbui tena

    mkuu nadhani lugha uliyotumia kwenye heading ina udhalilishaji,mwanamke ni binadamu hivyo huwezi kumtumia.Kwani tayari umeshasema kunakuwa na makubaliano sasa iweje useme umemtumia?????
  11. papaa2015

    Nchi hii haki iko wapi? Malima na Masele wangekuwa mikononi mwa polisi

    Najua yako mengi ya kujadili humu ndani,naheshimu mawazo ya wadau lakini ninahis kuna kitu kinakosekana katika mijadala iliyo mingi humu ndani.....kwanini tunaanzisha thread na tunajadili yaliyo nje ya mada husika? Nashauri tujikite ktk mada husika ili tuweze kuijadili kiunaga ubaga na kutoa ya...
  12. papaa2015

    Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

    waleta habari hebu jipangeni mtupe habari sahihi,huyu anasema kagonga kakimbia kakamatiwa Ubungo,mwingine kagonga kashuka kamtisha mzungu kakamatwa hapo hapo.....which is which
  13. papaa2015

    Baadhi ya wanawake wa MMU dili imebumbuluka live

    Sishangai,kwani hata madem zaidi ya asilimia 50 wameweka picha za kizungu wakat wabongo,majina ya members yote fake! Hata mimi profile yangu fake,na hii ndo imefanya jukwaa linoge zaidi! Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  14. papaa2015

    Nahisi mdogo wangu amerogwa

    Kwanza miaka 29 huyo ni binti sio bibi,dodo atakuwa kapewa vitu adimu.Muhim mpeni ushauri ajitambue Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  15. papaa2015

    UTAFITI: Aina za mabinti na tabia zao katika mapenzi

    Huu si utafiti bali ni hisia binafsi Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Back
Top Bottom