ni mtu wa TABORA mkuu,,............
Ni mkubwa kwa mtoto wa F5, but sio bibi, vinginevyo mtanifanya niwe ajuza wa mkongojo
kiukweli dada yangu mimi ndo mtu pekee tunayesikilizana na dogo na hata nilipokuwa bado chuoni aliniambia kwenye simu kuwa ameokota dodo ila nimekuja kugundua kuwa siyo dodo ni fenesi niliporudi na dogo safari hii hataki kabisa kunisikiliza labda mengine ila kwa hilo tunagombana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Mtafute mtu ambae dogo huwa anamsikiliza na kumwogopa akaongee na huyo mdogo wako!
Miaka 29 ni used sana. Ninwabibi au unaweza kuita wachakavu au wakuukuu
ninachokataa mimi ni kuwa hawaendani kabisa bibi ameshacheza mechi nyingi za ugenini ni nyumbani ila dogo hana anachokijua anaweza aambiwe alambe papuchi.........!!!!!!!!!!!!!
kweli imekaa vizuri hapo..........................!!!!!!!:typing:
kuanzia kama 29 hv mkuu.......
naanzaje kuachana nao kiongozi!!!
sina imani na huyu bibi...... kibaya zaidi ameenda hadi anapokaa huyo bibi eti anajitambulisha kweli nimwache mkuuu!!!!
hata kama nina maamuzi kuomba ushauri kunasaidia kuwa maamuzi yangu yapo sawa au nimeteleza!!!!!