UTAFITI: Aina za mabinti na tabia zao katika mapenzi

UTAFITI: Aina za mabinti na tabia zao katika mapenzi

Nina wasiwasi na uchunguzi wako. Mimi sio mrefu wala sio mfupi,sio mnene wala sio mwembamba,ni maji ya kunde,nina dimpoz na mwanya. Hebu nipe zangu manake hapo sipo.
 
Kushadadia sana kuwachunguza mabinti ni dalili za ukwasi usio kimo cha balehe za starehe.
 
hahahha sio kweli sina hizo sifa japo nipo namba 2 3 5 6
 
Inasemekana wadada wana tabia tofauti katika mapenzi kulingana na maumbo ya miili yao.
1. Wasichana wafupi wanaongoza kwa
wivu wa mapenzi na kuwajali wapenzi wao
2. wasichana warefu huwa hawawajali
wapenzi wao na hawaogopi mahusiano kuvunjia hawajui
kubembeleza hata kdogo
3. wasichana wenye DIMPOZ,MWANYA,M
ATEGE MBINUKO,MAHIPS NA KITEMBE,hawa huongoza kwa kutokuwa
WAAMINIFU katika
mapenzi
4. wasichana WANENE huongoza kwa
MAPENZI YA KWELI
yaani akipenda amependa kweli
5. wasichana WEMBAMBA hawa huwa ni
WABISHI sana
na hawa wanaongoza kwa kutendwa!
6. Wasichana wenye NGOZI NYEUSI
wanaongoza kwa
KUTOA MIMBA na kupenda wanaume warefu na weupe
7. wasichana weupe wakiongoza kwa
kuzalia nyumbani, na hawa weupe weng wao
huolewa wakiwa na watoto tayari huku wakipenda
kuolewa na waarabu kulko wanaume
weusi.
Je kuna kundi jingine unalolijua na tabia zao?

Kweli kaka hujakosea hata kidogo, nakupa 100% utakuwa umefanya utafiti kwa muda gani?
 
Inasemekana wadada wana tabia tofauti katika mapenzi kulingana na maumbo ya miili yao.
1. Wasichana wafupi wanaongoza kwa
wivu wa mapenzi na kuwajali wapenzi wao
2. wasichana warefu huwa hawawajali
wapenzi wao na hawaogopi mahusiano kuvunjia hawajui
kubembeleza hata kdogo
3. wasichana wenye DIMPOZ,MWANYA,M
ATEGE MBINUKO,MAHIPS NA KITEMBE,hawa huongoza kwa kutokuwa
WAAMINIFU katika
mapenzi
4. wasichana WANENE huongoza kwa
MAPENZI YA KWELI
yaani akipenda amependa kweli
5. wasichana WEMBAMBA hawa huwa ni
WABISHI sana
na hawa wanaongoza kwa kutendwa!
6. Wasichana wenye NGOZI NYEUSI
wanaongoza kwa
KUTOA MIMBA na kupenda wanaume warefu na weupe
7. wasichana weupe wakiongoza kwa
kuzalia nyumbani, na hawa weupe weng wao
huolewa wakiwa na watoto tayari huku wakipenda
kuolewa na waarabu kulko wanaume
weusi.
Je kuna kundi jingine unalolijua na tabia zao?

Usinivunjie ndoa yangu, unataka nimuhisi vibaya mke wangu kisa ana mahips makubwa.
 
Niambie katika hayo makundi uliyoeleza hapo juu wewe upo kundi gani????? I am so curious
 
Sampling ya wasichana aliotembea nao.
 
Kwa hiyo mwanamke mwembamba akinenepa na tabia inabadilika! pumba hizi.
 
Daaah hapo kwenye ngozi nyeusi mmeua khaaa
 
Huu si utafiti bali ni hisia binafsi

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom