Baadhi ya wanawake wa MMU dili imebumbuluka live

Baadhi ya wanawake wa MMU dili imebumbuluka live

Mimi tatizo langu lipo kwenye Laptop. kama ilizima tu kwa ukosefu wa power inaweza kurudi pale ulipokuwa mara ya mwisho. Utahitaji password kurudi sehemu ilipokuwa. Au fundi ata-log in kama guest haitaenda kule tena. Lakini kama ilipata hitilafu fulani, fundi akaiwasha ika-boot upya, haiwezi kurudi kama vile ilikuwa ime-hibernate. Unayosema yanaweza kutokea but this looks like a cooked story and there are so many such stories in JF.

kama unatumia google chrome na ulisign in na umefanya settings za kukumbuka password basi inarudi kama ilivyo.
 
kwa nini msifanye verification kwa picha bila kuweka sura holding or writing somthng to prove your sex
 
Una uhakika gani kama hio laptop ni yake.:what::what::what:..

Je kama ni rafiki/ boyfriend wa mwenye hio laptop???
 
Sishangai,kwani hata madem zaidi ya asilimia 50 wameweka picha za kizungu wakat wabongo,majina ya members yote fake!

Hata mimi profile yangu fake,na hii ndo imefanya jukwaa linoge zaidi!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
If its fakw user name that means hata uhalisia we are fake
 
kwanza hii story ni ya uwongo, maana kama ni ya ukweli usingekuja kujianika hivyo kwa kujua mwenyewe akiona thread tu lazima atajua. Tukirudi kwenye somo, wewe una tabia za kike, mwanamume hawezi kuanza kuchungulia akaunti ya mtu mwingine ambayo haimhusu na kisha kupeleka thread kwenye ,jukwaa lilelile linalomhusu mhusika! hiyo akaunti inaweza isiwe ya huyo mtu labda kuna mtu alilogin kwa kutumia laptop yake, wewe unaconclude tu!!! krepu.

Kuwa ya uongo au sio ya uongo that is beyond your capability you cant prove it. Halafu akijua mimi ndio furaha yangu coz ujumbe utakuwa umefika na atakuwa au watakuwa mamefahamu kwamba kuna watu hawasapoti hiyo tabia ya kufeki hadi jinsia. By the way apo kwenye red unawajibika kuwaomba radhi wanawake wote duniani, unamaanisha biologically wanawake wameumbwa kufuatilia vitu visivyowahusu!!!
 
Back
Top Bottom