Hapo umenena hebu tuwewavumilivu kidogo
Msisahau kuna vitabu sita
Alisafiri mpaka south
Soo tuwe wapole ili ukishaielewa hii shule waweza kopa mkopo mkubwa na ukaufanyia kazi hiyoo na sio kwenda lima ufuta
Isije mwisho watu wakaaja toa lawama zisizo na kichwa watanzania niwazuri kwenye...
Toka mmeniibiaga na mobile bank yenu nikapigwa laki 8 yangu ya ada baba akaniona mwizi mpaka leo . nawafata pale mwanza mnaniambia habari za kufungua kesi wakati pesa iko kwenu naa apa mimi na kizazi changu kuto kutumia bank yenu na wala kuomba kazi kwenu yaanii I hate this bank sijui
Ila kazi...
Me pia Niko mtaa napambana but naotaga napiga pepa la form 4 maala mdaa unakata naamka mda mwingine naota Niko na washkaji wa olevo au primary darasani ticha agawa pepa akifika kwangu ndoto na kata sijui ikoje hiyo japo nilisha malizaga chuo since 2013 napambana na mji wa yesu wa dar
Bei kaka
Size
Location
Description
Owner
Contact
Ungefuata huu utaratibu tungekuwa mbali mnafanya biashara zisizo na utaratibu ndo shida haya apartment kama hiyoo unategemea Mimi nilioko kimara ndo nije means utarget market kubwa sasa kila MTU akija ofisini kuuliza tu bei hauoni mnaluhusu...
Sasa si angeomba chuo kingine kwani kulikuwa na umuhim gani yeye kurudi pale
Jamani tatizo lisikie kwa Jirani likiwa kwako ni tofauti
Walio karibu na huyu MTU muwe mnamshauri vizuri
Huyu kijana ni MTU makini ila huu mgumo wetu wa sasa awe nao taratibu sana sio enzi za msoga
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.