Natafuta kazi ya ualimu wa medium schools primary

Mgweno Hamisi

Member
Sep 1, 2016
57
42
Mimi ni mwalimu na mtaalamu wa maths na masomo ya biology ,history goegrahy kwa shule za secondary. Mwenye mahitaji anitafute in box.
Asante.
 
Ungesema Bios,Chemistry,Physics na Hesabu ningekuelewa.Ila utoke kupiga shule ya glomerular filtration in the nephron uje uanze kuelezea Ngoni Migration

Umesoma combination gani High school?
 
Ungesema Bios,Chemistry,Physics na Hesabu ningekuelewa.Ila utoke kupiga shule ya glomerular filtration in the nephron uje uanze kuelezea Ngoni Migration

Umesoma combination gani High school?
Masomo manne Mwalimu wa sekondari,sijui amesoma chuo gani huyu.
 
Mimi pia n mwalimu ngazi ya shahada kwa masomo ya Mathematics na ICT
pia na uwezo wa kufundisha Physics na Biology

mwenye uhitaji
contact: 0758133454 or 0658133454
 
Mimi ni mwalimu na mtaalamu wa maths na masomo ya biology ,history goegrahy kwa shule za secondary. Mwenye mahitaji anitafute in box.
Asante.
Kichwa cha habari umekosea hata somo unalodai kuwa na utaalamu nalo kuandika kwa usahihi umeshindwa, ww ni mwalimu kweli? basi hao wanafunzi wako siju inakuaje, mambo kama haya ndio yanatufanya tukuone ww ni kanjanja.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom