Recent content by pablojunior

  1. pablojunior

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simu ya wife

    mkuu pole ila huyo ni tabia yake aisee sasa una muda gani hujawai shika cmu yake ni sina shaka huyo ---- anakuja hapo kwako ukiwa haupo fanya maamuzi magumu ila ya busara piga chini malaya huyo.
  2. pablojunior

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simu ya wife

    mkuu kufall kwa hawara daah haya mapenzi ya kisasa shida tupu ,mtoa mada hawa viumbe wetu ni wakuishi nao kwa umakini sana , mkuu coz hawaeleweki kama kabisa, ukiwa na moyo mwepesi wanaweza kuharibu maisha ukaishia jela, sasa hivi usimuulize coz kipindi hichi anaweza akakejeli , kwa...
  3. pablojunior

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simu ya wife

    mkuu hivi unawajua wanawake akipata hawara anayempa kiburi au unawasikia kama hayajakukuta omba mungu yasikukute ndugu yangu , kuna braza angu mpaka leo hajaoa maana baada ya kugundua mengi ya mkewe alinrudia mungu, lakini malipo hapa hapa duniani, ushauri kwa mtoa mada kuwa mvumilivu , kunywa...
  4. pablojunior

    JamiiForums Tanzania Nilichokiona Central Polisi

    teh teh i like ma tz.
  5. pablojunior

    JamiiForums Tanzania Hivi John Bocco ana hisa Azam?

    mkuu boko muasisi wa azam tangu mbagala market.
  6. pablojunior

    JamiiForums Tanzania Hillary Clinton akosoa sera ya mambo ya nje ya Obama

    angalia jicho la kiyahudi anavyomtazama obama.
  7. pablojunior

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Dar na Vibegi mgongoni

    ujana ujanja ujanja tu mjini hahaha wengine huweka kinote book akikutana na mtu anaye mjua anaomba namba ya simu anaandika kwenye note book maskini hata simu hana.
  8. pablojunior

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Dar na Vibegi mgongoni

    swaga.
  9. pablojunior

    JamiiForums Tanzania Graduate, mshahara chini ya milioni moja usifanye kazi

    wawaulize wenzao interview ya uhamiaji
  10. pablojunior

    JamiiForums Tanzania Mkubwa na Wanawe - Ya Moto

    kisima cha kijiji nikiwekee uzioo
  11. pablojunior

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuwekwa kwenye chupa maana yake nini?

    mkuu jiandae kusahau familia yako kama mke,wazazi na ndugu zako, then subiri kutamvulishwa kaka zake ambao hana undugu nao kisa tu ni kabila moja.
  12. pablojunior

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuwekwa kwenye chupa maana yake nini?

    kimbia fasta man.
  13. pablojunior

    JamiiForums Tanzania POLISI maarufu akamatwa na watu wa USALAMA!!!

    umri umeenda shule hana maskini daaah cjui atafanya kazi gani , kijijini hataki kurudi , kiukwel mm binafsi nimehuzunika sana na namuonea huruma mnoo ukiangalia familia aliyotokea ni ya kimaskini mtaji hana kiukwel cpendagi kuhukum bila kujua historia ya mdau.
  14. pablojunior

    JamiiForums Tanzania POLISI maarufu akamatwa na watu wa USALAMA!!!

    askari anakamatwa kizembe hvyo daah alitakiwa awape kipigo cha nguvu hao wangese.
Back
Top Bottom