Mkubwa na Wanawe - Ya Moto

Mkubwa na Wanawe - Ya Moto

Mkubwa fela ndio huyo huyo kitorondo anafanya diversity tu ya masoko.
 
ya moto band. tatizo lao hawa vijana hawatengenezewi video kali.. hizi nyimbo zao zinapendwa sana sehemu za congo na mombasa.. wakitengenezewa best quality ya video bas watarushwa sana na tv za central africa hata west pia..
 
Yamoto,yamoto band ,yamoto ,yamoto band!...........Mkubwa na wanae....... Hawa watoto wanaimba hadi raha!
 
Yaah tatizo ni Capital na hii band bado ni changa! Ninachopenda ni uchaguzi wao mzuri wa wahusika wa kwenye video zao ni watu wenye rika kama lao!

Wana fanya vyema!
 
Kuna band mbili tu bora hapa tanzania so far..

Nazo ni MALAIKA BAND ya Christian bella na YA MOTO band..
 
Yamoto,yamoto band ,yamoto ,yamoto band!...........Mkubwa na wanae....... Hawa watoto wanaimba hadi raha!

"Kazini niende, nirudi na sembe roboo,
nachotaka unipende, nipunguze wenge zogooo
waepuke wapambe wasilete mbwembwe uongooo.......

Moyo wa chuma sinaaa usije nipa tabu, ongeza penzi kwa kina jumuisha na wivu........"

Madogo wanajua sanaaaa

cc; my docta
 
Madogo wanajua,ila kwa usimamizi wa Fella ,hawatapiga hatua..

Yeah...iko wap tmk...

Wadogo wako vizuri nawakubali saaana la manager wao atawazingua!!!.mtu akiwekeza pesa nzuri kwenye video watauza afrika nzima!!...hapo ndo diamond na akina ay anapowaacha wengine!!.
 
Mi sifuatiliagi sana nyimbo za namna hii ila hawa vijana wananikosha sana nikiwasikiliza na sauti zao nzuri.
 
Ni mwanzo mzuri, wajibidishe na pia wasiache shule...
 
Hawa vijana nawakubali sana tatizo Fellah hawezi kuwapeleka next level.
 
Back
Top Bottom