Kuwekwa kwenye chupa maana yake nini?

Kuwekwa kwenye chupa maana yake nini?

sa ukiingia kwnye chupa si ata dushe utakuwa hupigi.. au litakua lichupa likubwa
 
Anaetaka kufanya hasemi........ulisikia wapi mwizi akakwambia nakuja kukuibia? Jiamini......
 
Wa muda tu maana niko mbali na njia kuu.

aaanhaaaa ningekuwa namjua ningemwambia afanye fasta kukutumbukiza humo kwenye chupa tena aifunge vizuri akaitupie baharini usitoke milele, na hapo ndo utajua umuhimu wa kuheshimu njia kuu na kuacha michepuko.
 
mkuu jiandae kusahau familia yako kama mke,wazazi na ndugu zako, then subiri kutamvulishwa kaka zake ambao hana undugu nao kisa tu ni kabila moja.
 
shauri yako
utajkuta kwnye kichupa cha mkojo wa punda
 
aaanhaaaa ningekuwa namjua ningemwambia afanye fasta kukutumbukiza humo kwenye chupa tena aifunge vizuri akaitupie baharini usitoke milele, na hapo ndo utajua umuhimu wa kuheshimu njia kuu na kuacha michepuko.

Mmh ndugu una roho ya utu kweli?
 
Kumbe sio njia kuu,unatafuta ushauri wa nini?? U have a choice....achana nae!
 
mkuu[MENTION]joystick[/MENTION] huyo mwenzako si alikwambia ni kukupenda na kukupa penzi moto au we unataka maana gan
 
Nimepata kadada fulani huku kapare.Muislam mimi mkristo.Kaslim body nini,sasa nikamakribisha geto akaja nikaanza kukachezea na vitu vingine vikaendelea.Akarudi kwao. Jioni jana tukawa tunachat na katika chatting na nini akawa anaonyesha kwa jinsi alivochizika na mimi then akanambia kitu kilichonistua kidogo akanambia kuwa ataniweka kwenye chupa.Then akaniambia anaweza nifanya nisiende kazini na hata boss wangu nikwamwita jina lake yani nimwite bosi wangu wa kiume jina la huyo binti (Sijui anataka nifukuzwe kazi)

Leo tumeonana kama lisaa hivi now nimerudi ofisini.Baada ya gemu, leo amenambia kuwa anataka anipikie chakula aniletee lakini nisihofu hataniwekea libwata,baada ya kusema hivo nkamuuliza kwani ana mpango huo.Akanambia nisiwe na wasi hana mpango huo.Nikamuuliza kuhusu swala la kuniweka kwenye chupa akasema maana yake ni kunipa mapenzi kwa kwenda mbele.
Lakini bado kichwa kinaniuma kuhusu haya mambo mawili;Je maana halisi ya kuwekwa kwenye chupa ni nini? ukilinganisha kuwa amenambia ameanza kunionea wivu kwa kuwa nmemwambia wazi kuwa niko nae but kuwa muhusika mkuu.

Wadau hebu nisadieni maana halisi ya kuwekwa kwenye chupa.,
Ukila na Kipofu usije mpa Nyama mzuri ili ale..............hujiuliza, ''ikiwa mimi nisiyeona nakula hivi je huyu anayeona anakulaje...........?'' Umeonyeshwa mapenzi mazito unashangaa na kuogopa....................!!!!!
 
demu anakupenda sana huyo, mwache akuroge ili apate kukuchuna vizuri.
 
Back
Top Bottom