POLISI maarufu akamatwa na watu wa USALAMA!!!

POLISI maarufu akamatwa na watu wa USALAMA!!!

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
ImageUploadedByJamiiForums1407078003.621555.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1407078041.926806.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1407078089.656690.jpg
Polisi huyu kwa mujibu wa mashuhuda eneo la tukio ni kuwa alikuwa mtumishi wa jeshi la polisi miezi miwili iliyopita ila akatimuliwa kwa utomvu wa nidhamu
Lakini aliendelea kutumia nguo za jeshi hilo kimakosa ndipo watu wa usalama walipomnyatia na kumtia mbaroni huko charambe akikamata na kuchukuwa fedha za waendesha magari na pikipiki kimakosa.
 
Dah! anatia huruma sana! wangemwambia arudishe hela za watu halafu wamuache aende zake. Maana maisha ya mapolisi ni ya kuungaunga inawezekana hata siku anatimuliwa kazi pengine hakuwa na akiba hata ya shilingi mia!
 
Too sad aisee

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
daah!ebwanae huyu br, namfahamu maranyingi kituo chake kilikua mwenge dah! kweli ni shida!
 
Huyu jamaa kama sijamfananisha anaitwa Emma alikuwepo hata kwenye video za Jerry Muro anakula rushwa live alihamishwa tu ni brotherman sana na la ziada ni sio mwenzetu aka mchicha mwiba alias mtoto wa watu
 
askari anakamatwa kizembe hvyo daah alitakiwa awape kipigo cha nguvu hao wangese.
 
daaah ver sad aisee mungu amuongoze akubali matokeo.

Umei-sum up vizuri sana.. Akae aangalie alikojikwaa ni wapi.. Kuchukua hela za watu kwa kujifanya askari sio tabia nzuri.. kimaadili wala kisheria..
 
anatakiwakuchukuliwa hatua kali pasipo kuonewa huruma huyu. kwa upande mwingine kitengo hiki cha usalama kingekuwa kinafanya kazi yake sawa sawa mbona kingekamata matrafic wengi tu walio bado katika ajila wakichukua hela za wanachi kama huyu mtuhumiwa!!!
 
Huyu jamaa kama sijamfananisha anaitwa Emma alikuwepo hata kwenye video za Jerry Muro anakula rushwa live alihamishwa tu ni brotherman sana na la ziada ni sio mwenzetu aka mchicha mwiba alias mtoto wa watu

Mkuu kama huna uhakika na hili naomba ufute..maana utakuwa umemdhalilisha sana jamaa.. ila kama kweli daah...:A S 109::A S 109::A S 109::A S 109:
 
umri umeenda shule hana maskini daaah cjui atafanya kazi gani , kijijini hataki kurudi , kiukwel mm binafsi nimehuzunika sana na namuonea huruma mnoo ukiangalia familia aliyotokea ni ya kimaskini mtaji hana kiukwel cpendagi kuhukum bila kujua historia ya mdau.
 
Kwani alipotimuliwa alinyang'anywa u-askari?

Huyo ni askari ila tu siyo mfanyakazi wa umma.

Achukue chake mapema.
 
umri umeenda shule hana maskini daaah cjui atafanya kazi gani , kijijini hataki kurudi , kiukwel mm binafsi nimehuzunika sana na namuonea huruma mnoo ukiangalia familia aliyotokea ni ya kimaskini mtaji hana kiukwel cpendagi kuhukum bila kujua historia ya mdau.
Vipi hupendagi kumhukumu mtu bila kujua historia yake na wewe umeshasema "familia aliyotokea ni ya kimasikini,Mtaji hana!!
 
Too sad kivipi? Hawa wala rushwa wanatunyanyasa sana. Pay day,ashikishwe adabu bila huruma.

Hakuna aliye mkamilifu,hata wewe kama unafanya kazi au biashara kuna vitu ambavyo unavifanya si sawa kwa kujua au bila kujua

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Mkuu kama huna uhakika na hili naomba ufute..maana utakuwa umemdhalilisha sana jamaa.. ila kama kweli daah...:A S 109::A S 109::A S 109::A S 109:

Nina uhakika muulize mtu yeyote wa mwenge especially madereva wa daladala
 
umri umeenda shule hana maskini daaah cjui atafanya kazi gani , kijijini hataki kurudi , kiukwel mm binafsi nimehuzunika sana na namuonea huruma mnoo ukiangalia familia aliyotokea ni ya kimaskini mtaji hana kiukwel cpendagi kuhukum bila kujua historia ya mdau.

Yeah,anatia huruma sn. Nimejaribu kuvaa uhusika ht nimeshindwa kupata mwafaka.
 
Wakiwa kwenye ajira jeuri tele, angalia sasa hapo, jeuri yote kwisha
 
Huyu polisi ana roho mbaya na ndo maana wamemfanyezia ubaya na laiti angekuwa na yeye kuwakatia njuruku kidogo basi mambo yake yangekuwa super tena sana na mwisho angekuwa terionia wa hapa bongo na angekuwa na uwezo wa kujenga kiwanda na sisi wanyonge tungepata ajira safi
 
Back
Top Bottom