Recent content by p84

  1. P

    JamiiForums Tanzania Lissu: Si mara ya kwanza tunaahidiwa kuwekewa mikataba wazi. Kumuunga mkono Rais si lazima

    Tatizo kubwa kwetu ngozi nyeusi, ni sifa na kutafuta kujulikana na jamii, msomi kukubali kuwa amekosea anaona atashusha thamani ya elimu yake, na watu wanaoongoza kwa ujinga siku zote ni watu wanaojiita wasomi....... "maneno mengi hula vitendo"
  2. P

    JamiiForums Tanzania Tetemeko dogo la Ardhi(aftershock) latikisa tena Bukoba usiku Sept 11, 2016

    Daaah, poleni sana na chukueni tahadhari zote
  3. P

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimetoa pesa kwenye ATM haikutoka ila salio la awali limepungua

    Hilo tatizo ishawahi nitokea cha msingi baada ya masaa 12 nenda bank ukajieleze watakurudishia pesa zako
  4. P

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Lowasa
  5. P

    JamiiForums Tanzania Media imehama

    Hivi ni kweli kuwa issue muhimu kwa mustakabali wa taifa sahivi ni rais kuzumngumzia storia ya ugonjwa wake?
  6. P

    JamiiForums Tanzania Hivi hii nayo ni "style" ya kutimiza haja?

    heri uachane naye mana utamfelishi bure au utakuja mtia mimba
  7. P

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Arusha - Longdo niende Babati mjn km yupo ani contact kwa 0787826560. Idara ya secondary
  8. P

    JamiiForums Tanzania Kati ya mama yako na mke wako, utamsaidia nani?

    Me namsaidia mama mke tupa kulee......
  9. P

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri,nimfanyeje huyu binti

    Mpimie kipimo alichokupimia ww hamna kosa hapo
  10. P

    JamiiForums Tanzania SMS kutoka kwa mke wa mtu

    Nahisi kama roho ya mauti inakuita, kama unajipenda keep your distance away na mke wa mtu.
  11. P

    JamiiForums Tanzania Unaweza kumsomesha mchumba wako?

    Aisee ndugu nakushauri wekeza kwingne sio kwa mwanamke mana hawana utu hata chembe akishafanikiwa kukubwaga kawaida.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Wazee wa kimyakimya

    Ogopa wanaojivalia ngozi ya kondoo kumbe ndani mbwa mwitu
  13. P

    JamiiForums Tanzania Kikawaida mnaanza kugegedana siku ya ngapi ya kutongozana na kukubaliana?

    Hamna kuremba cku hyo hyo
  14. P

    JamiiForums Tanzania Ni jinsi gani unaweza kuflash simu yako

    Huawei ascend p1 u9202l1
Back
Top Bottom