ada na poket m. mkuu
mimi namsomesha mchumba angu madrasa.
Wana JF.
Napenda kupata maoni na mawazo mbali mbali toka kwenu, unaweza kumsomesha mchumba wako wa kike for instance, chuo cha ualimu au Nursing? hawezi kukusaliti baadae akisha pata kazi au akiwa huko?
Huwa nasikia kuwa kuna watu wengi sana walishatendwa wakati au baada ya kusomesha.
Maoni yako ni muhimu sana hapa.
umenichekesha sana wewe mtuWekeza tu mkuu......sawa na kupaka rangi nyumba ya kupanga!
Wana JF.
Napenda kupata maoni na mawazo mbali mbali toka kwenu, unaweza kumsomesha mchumba wako wa kike for instance, chuo cha ualimu au Nursing? hawezi kukusaliti baadae akisha pata kazi au akiwa huko?
Huwa nasikia kuwa kuna watu wengi sana walishatendwa wakati au baada ya kusomesha.
Maoni yako ni muhimu sana hapa.
mimi namsomesha mchumba angu madrasa.
Wana JF.
Napenda kupata maoni na mawazo mbali mbali toka kwenu, unaweza kumsomesha mchumba wako wa kike for instance, chuo cha ualimu au Nursing? hawezi kukusaliti baadae akisha pata kazi au akiwa huko?
Huwa nasikia kuwa kuna watu wengi sana walishatendwa wakati au baada ya kusomesha.
Maoni yako ni muhimu sana hapa.
labda mchumba ambaye ni wife material
Kusomesha ngoja kwanza wazazi wake wamsomeshe hadi atakapofikia.
kwao hawana uwezo! baba kashatangulia, yupo mama tu ana-biashara yake tu ndogo ndogo