Mambo kama hayo hutoke TZ tu.Mh!Ngumu kumesa
Poa Mkuu Ngoja nisikizie maana nimepagawa kweli visenti vyenyewe Hivi na maisha yanavyotukaba hatari tupu
Technological failure inaweza kitokea popote. Hata ndege za mashirika makubwa huanguka due to technical failure. Tuache mentality ya kujidharau sana, hii tabia sio nzuri na imeanza kukua sana nchini ktk miaka ya hivi karibuni.Mambo kama hayo hutoke TZ tu.
nenda kajaze fomu ya maombi ya kurudishiwa pesa iliyokatwa watakurudishiaWakuu nilienda NMB bank kutoa kiasi cha fedha mara ya kwanza ATM machine Ilikuwa inahesabu Lakin pesa haikutoka zaidi ya risiti na kadi pekee
kwenye risiti kunaonyesha Huduma haijakamilika Lakin kiasi kilichopo mwanzo kimepungua
Mara ya Pili haikuhesabu Lakin Pia pesa haikutoka na pesa imepungua tena risiti imeandikwa vilevile Huduma haijakamilika
Je naweza kurejeshewa kiasi kilichoonekana kimetoka Lakin sijafanikiwa kukipokea??au hadi niende kwenye tawi la bank husika
Nashauri pia awapigie customer service onlinepamoja na hilo, nenda bank kabisa. wanaweza wakachelewa kukurudishia!
Kama benki yako ni hio hio nenda kwenye branch watakurudishia baada ya siku 3-7 lakini kama umetoa ATM ya benki ingine si chini ya siku 30.Wakuu nilienda NMB bank kutoa kiasi cha fedha mara ya kwanza ATM machine Ilikuwa inahesabu Lakin pesa haikutoka zaidi ya risiti na kadi pekee
kwenye risiti kunaonyesha Huduma haijakamilika Lakin kiasi kilichopo mwanzo kimepungua
Mara ya Pili haikuhesabu Lakin Pia pesa haikutoka na pesa imepungua tena risiti imeandikwa vilevile Huduma haijakamilika
Je naweza kurejeshewa kiasi kilichoonekana kimetoka Lakin sijafanikiwa kukipokea??au hadi niende kwenye tawi la bank husika
Haya mambo yanatia unyonge Sananiliwapa kazi watu nikawambia endelea naenda kuleta pesa sasa hivi,, kufika ATM ikanionyesha salio ni 0, nikahisi wajanja washanikombea tuhela twangu. nikapiga namba zimeandikwa pembeni ya mashine wakaniambia ni mtandao baadae nilipoangalia nikazikuta. Nilowapa kazi nilikuta wamejaa sumu kidogo waninyonye macho.
Subiri masaa 24 angalia tena utakuta mambo sawa.