UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA VS CCM KATIKA URAIS

  • UKAWA

    Votes: 757 85.2%
  • CCM

    Votes: 118 13.3%
  • NONE OF THE ABOVE

    Votes: 13 1.5%

  • Total voters
    888
Status
Not open for further replies.
yakwambiwa changa na ya kwako!!!mtandao wa mafisadi upo kazini!!!hatuwezi kutoka hapa tulipo kwa akili za nyumbu!!!!watanzania wangapi wanatumia mitandao ya kijamii!!hapakazi tu!!! Msiwe kama tapel lowasa eti ilani inapatikana kwenye website!!!!teh teh teh teh!!!

Mbona unatoa povu kama sabuni ya foma gold???
 
​

Umati ukiwa umefurika kumsikiliza mgombea wa urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli kwenye uwanja wa Karangalala,Geita mjini.
​
Mgombea wa urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Geita mjini kwenye uwanja wa Karangalala ambapo aliwaeleza wakazi wa mji huo kuwa atahakikisha viwanda vinajengwa , wacimbaji wadogo wadogo wanapata maeneo ya kuchimba, ataboresha maslahi ya wafanyakazi , kuhakikisha madawa na huduma za afya zinakuwa bora zaidi na elimu bure kuanzia shule za msingi mpaka kidato cha nne.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom