Recent content by Otunba

  1. Otunba

    JamiiForums Tanzania Manji na Gwajima wamelala mahabusu ipi?

    Halafu naona huyu bi dada anafanania na Zari sijui ni ndugu
  2. Otunba

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awataka wapenzi na wanaCCM kushikamana na kuisimamia serikali.

    Hapo kwenye kuisimamia serekale, tuwaachie wajisimamie wenyewe, ukiwakosoa hawachelewi kukudaka kwa uchochezi na kwenda kukubinya mapumbu bila ganzi
  3. Otunba

    JamiiForums Tanzania Jinsi kampuni za bia zilivyobadili gia angani

    Aisee mimi nipo hapa bar nakata hizi serengeti ndogo, huku nasubiria mwaka mpya ufike hivi bado tu haujafika? maana hata sijui hii chupa ya ngapi halafu nahisi kama nime paralaizi miguu:(
  4. Otunba

    JamiiForums Tanzania Nitapataje kidoti kama cha Jokate?

    Wala hata sio kazi katafute mzinga wa nyuki ama kichuguu cha manyigu wewe ingiza kichwa chako humo kwa nguvu halafu ufanye kama unachokonoa chokonoa kuwakera hao viumbe. Watakung'ata, ukisikia maumivu usilie wala usijute ndio gharama ya urembo, baada ya hapo utajaa vidoti uso mzima...
  5. Otunba

    JamiiForums Tanzania PICHA: Edward Lowassa akiwa na wajukuu zake katika matembezi ya jioni

    Mnazingua, Sasa hii ni habari jamani ? Halafu tukisema amenunua chama tutakuwa tumekosea ? Leo kuna asilimia za kutosha tu hata Mbowe, Myika, Lissu wameenda matembezi ya jioni mbona hamjawaandika na kutuonesha picha ?
  6. Otunba

    JamiiForums Tanzania Taja wimbo mmoja tu WA diamond ambao unaukubali

  7. Otunba

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa UVCCM aliyeshitakiwa kwa kughushi kitambulisho cha Usalama wa Taifa aachiwa huru

    Haya bana Mungu anawaona angekuwa kada wa upinzani mgemng'oa pumbu kwa kwanja.
  8. Otunba

    JamiiForums Tanzania Barua ya Lema kutoka Gerezani Arusha

    Hizi za chini ya kapeti nasikia kwenye maono ya Lema alianza kuondoka Faru John halafu ndio akafuatia Rahisi John.....
  9. Otunba

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ila nataka mwanamke, nitampa mahaba, masaji na kumfikisha kileleni

    Unataka kazi ? karibu pwani, kuna kupara samaki na kuparamiwa, Chochote unachotaka utanunuliwa, Shida zako za nyuma yakhe utatatuliwa
  10. Otunba

    JamiiForums Tanzania Tupeane update ya tuzo ya Forbes kwa Rais wetu

    Imooo!!!!
  11. Otunba

    JamiiForums Tanzania Hakuanza leo kutoheshimu mihimili mingine

    Nilikuwa nazunguka katika harakati za kufukua makaburi, nimeona kumbe hakuanza leo kudharau mihimili mingine, alikuwa anajitungia kanuni bila ushauri wa wengine, alikuwa anapuuza sheria na maamuzi ya mahakama kuna sehemu amefananishwa na NDULI kuna sehemu wamesema yeye ni mtaalamu wa Kemikali...
  12. Otunba

    JamiiForums Tanzania Sijui nitakua nimechochea

Back
Top Bottom