msweety
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 665
- 1,555
Jana baada ya mwenyekiti wa club ya Yanga na mfanyabiashara mkubwa Yusuph Manji, na mchungaji Gwajima kuwasili polisi central, tulishuhudia badae wakiondolewa kituoni kwa gari nyeupe. Leo mchana kamanda Siro ametoa taarifa kuwa bado wanashikiliwa kwa mahojiano. Binafsi sijaelewa imekuwaje hawa wakapelekwa mahabusu kimya kimya? Na wapo mahabusu ipi?