Otunba
Member
- Nov 11, 2016
- 12
- 28
Nilikuwa nazunguka katika harakati za kufukua makaburi, nimeona kumbe hakuanza leo kudharau mihimili mingine, alikuwa anajitungia kanuni bila ushauri wa wengine, alikuwa anapuuza sheria na maamuzi ya mahakama kuna sehemu amefananishwa na NDULI kuna sehemu wamesema yeye ni mtaalamu wa Kemikali anajifanya anajua masuala ya sheria zaidi ya mahakama. Ngoja nisimalizie utamu niwaache muangalie wenyewe.