Barua ya Lema kutoka Gerezani Arusha

Barua ya Lema kutoka Gerezani Arusha

Ushahidi wa kindoto haupo,na kutabiri raisi atakufa si mchezo jaman,sheria kama mtoto mdogo!lema aombe Neema za mungu tu nje na hapo atafungwa kimasihara siara!ajifunze tu kusoma alama za nyakat,magufuli ni mpinzani wake lkn yeye ni mbunge magufuli ni rais inakupasa umuheshim kwa kuwa ndo kila kitu!Sasa MTU mpinzani wako bado ni rais wako halafu unaleta habari za utabiri kuwa atakufa,kisheria tumweleweje!?je akifa kweli labda kwa mapenzi ya mungu lema atapona?!tuacheni ushabiki wa kisiasa ifike mahali tuseme LEMA amekosea tusimwonee aibu anachotakiwa ni kumwomba mheahimiwa msamaha basi,lkn kiburi chake kitamgarimu.Kukaa jela kwa muda wowote ni haki yake kutokana na MTU aliyemtabilia kifo.Uwezo wa yeye kuzuiwa na hata kufungwa upo mpaka rais atoke madarakani kwan anaweza kuachiwa akafanya lolote baya kwa rais kwan kwa mujibu wa ndoto zake amesema rais hatomaliza muda wake atakufa!!!haki yake kufungwa kutokana na sheria na mtu aliyemtabilia.
 
Hiyo barua ilivyowekwa haisomeki hata kidogo bora iondolewe,au iwekwe vizuri watu waone kilichomo.
 
Kwa maana hata angepita lowasa urais hao ccm wangemheshim kwani duniani kote RAIS anakuwa na kinga kisheria sasa ukizikiuka zile kinga mbali na katiba utajikuta umetenda kosa
 
Hizi za chini ya kapeti nasikia kwenye maono ya Lema alianza kuondoka Faru John halafu ndio akafuatia Rahisi John.....
 
Lema ana akili sana kuliko wanavyo mdhania. Hakika hii barua mtakuja kushangaa baadae ni moja ya mambo yatakayo tumika kutambulisha harakati za Lema maishani mwake. Hata wakina Mandela barua zao wakiwa jela zimewaongezea umaarufu sana kwenye maisha yao ingawa ni za kawaida tuu.
Kuna tofauti kati ya barua iliyo andikwa na mtu akiwa hospitalini na yule aliyeko jela kwa sababu za kisiasa
Huna lolote wewe, Chadema nyie ni watu wa hovyo kuwahi kutokea ndani ya taifa hili. Jiongeze acha ulofa na upu....
 
Tuweke siasa pembeni kuna ushujaa gani kumtabiria Rais kifo ?
 
Lema ana akili sana kuliko wanavyo mdhania. Hakika hii barua mtakuja kushangaa baadae ni moja ya mambo yatakayo tumika kutambulisha harakati za Lema maishani mwake. Hata wakina Mandela barua zao wakiwa jela zimewaongezea umaarufu sana kwenye maisha yao ingawa ni za kawaida tuu.
Kuna tofauti kati ya barua iliyo andikwa na mtu akiwa hospitalini na yule aliyeko jela kwa sababu za kisiasa
Hiyo barua haisomeki inasemaje???????.
 
Back
Top Bottom