Tupeane update ya tuzo ya Forbes kwa Rais wetu

Tupeane update ya tuzo ya Forbes kwa Rais wetu

Teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] kama zitarushwa live na mimi mnishitue
 
Mnakimbilia kusema sherehe ya kukabizi tuzo irushwe LIVE, hivi mnajiuliza aliye wahi kushinda tuzo ya FORBES MOHAMED DEWJI, sherehe ya kukabziwa kwake ilirushwa LIVE?
 
Mnakimbilia kusema sherehe ya kukabizi tuzo irushwe LIVE, hivi mnajiuliza aliye wahi kushinda tuzo ya FORBES MOHAMED DEWJI, sherehe ya kukabziwa kwake ilirushwa LIVE?
mkuu hata zile bashasha za mitandaoni hakuna anayepost! na nina uhakika Rais alishinda!
 
Teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] kama zitarushwa live na mimi mnishitue
kweli hili ni tukio kubwa hasa ukizingatia mkuu wetu alishinda
 
Tuzo zinafanyika leo majira ya saa 4 usiku itarushwa na vyombo vyote vya habari.

Kuna tetesi Lizibon amechaguliwa kwenda kupokea tuzo kwa niaba but hadi tunavyoongea Lizibon yuko Tandale anaelekea mbagala kupanda basi za Nairobi

Tuiombee safari yake
 
Hata mimi nasubiri kwa hamu sijui hiyo tuzo wanaitolea wapi na kama mshindi atakwenda. Jamani wahusika mliokuwa mnatujuza kuhusu rais wetu kuongoza mko wapi? Hebu amkeni mtupe matokeo na utaratibu mzima wa ushindi kwani tuko tayari kuandamana kumsindikiza hadi uwanja wa ndege na kisha kumpokea akirudi kwani hili ni tukio kubwa la kuiweka nchi yetu katika hadhi ya juu kidunia pamoja na rais wetu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] anaenda kupanda pangaboi na kurudi nayo alafu tunamokea kwa maandamano hadi ikulu
 
Ndiyo yeye ni mshindi wa washindwa lazima tumshangilie. Ila jamani matokeo bado?
 
Juma hana mpinzani sababu anakubalika %[emoji817] na huko kwenye tuzo nako anakubalika ndomana hajatangazwa sababu winner ni yeye malaika wa tz
 
Hilo swali wakati wa mjadala lilikosa majibu labda leo wakati wa kutangazwa mshindi tutapewa ufafanuzi zaidi
Na inavyoonekana huyo People of Ruanda atashika nafasi ya pili. Tuwe na subiri kuna watu wamesema itaanza kurushwa saa kupitia vituo vyote. Kesho magazeti yote habari ndiyo hiyo!
 
Sie wanatetemeko la kagera inatusaidia chochote?
 
sawa ngoja tusubiri labda tbc itakua mubashara
Nadhani itakuwa redio 5 au magic ndiyo zitakuwa rusha mubashara! Tbc na mambo ya live wapi na wapi wakati walisema haina hela za kurusha bunge mubashara?
 
Imooo!!!!
breaking-news.jpg
 
Mimi yangu macho
eyes.png

Wanaosema haipo,ikiwepo itakuwaje?

Wanaosema ipo,isipo kuwepo itakuwaje?
 
Back
Top Bottom