PICHA: Edward Lowassa akiwa na wajukuu zake katika matembezi ya jioni

Sijawahi kuona mwanaume anampenda na kumfuatilia mwanaume zake Kama wewe.
sidhani kama kuna mtu anampenda lowasa kwa namana unavyoongea wewe. watu walikuwa na matumaini kuboresha nchi ya Tanzania kusiwe na ukosefu wa pesa na ajira kama ilivyo sasaivi.wewe ukiona una mawazo kichwani ya aina hiyo kwa wanajf wenzio,ujue wewe unatakiwa kutiliwa shaka.
 
Ufisadi upi mbn magu kafungua mahakama ya mafisad lkn hadi leo imepelekwa kasi mmoja tu km lowasa ni fisad c wengempeleka acha upumbumbu ww
ufisadi ni kweli alikuwa fisadi. cha kuongea hapa ni kwamba hakuwa fisadi peke yake. hakuna mtu alikuwa mwanasisiemu anayewakera na anayewawekea kauzibe wapinzani kama huyu jamaa. na hapo anajifanya mpinzani kwasababu kule alikotarajia kupata amekosa. watu kama hao ni wakuwaogopa sana, ni watu wa maslahi. however, ni bora tungepata mtu wa maslahi kuliko maisha magumu namna hii. january hii watoto shule ada, single mothers sasaivi ndio watagegedwa kuliko kipindi kingine chochote ili wapate hela ya ada za watoto. si dhambi hizo.
 
Ufisadi upi mbn magu kafungua mahakama ya mafisad lkn hadi leo imepelekwa kasi mmoja tu km lowasa ni fisad c wengempeleka acha upumbumbu ww
ngoja wapunguze kiwango cha definition ya wanaopelekwa mahakama ya mafisadi kwanza, hapo ndio watajaa. kuweka mabilioni wakati ufisadi unaanzia hata milioni mia moja tu haikuwa sahihi. washushe tu fisadi awe mtu aliyeiba walau milioni mia moja. chini ya hapo apelekwe mahakama ya kawaida.
 
Waziri mkuu mstaafu na mjumbe wa kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo Mh. Edward Lowassa akiwa na wajukuu zake katika matembezi ya jioni.

Lowassa yuko shambani kwake Handeni mkoani Tanga kwa mapumziko ya sikukuu za mwisho wa mwaka.

View attachment 450659
View attachment 450660
Sema kweli, hayo matembezi ya jioni au wanaoneshana mipaka ya mapori aliyojitwalia akiwa madarakani?
 
Mnazingua, Sasa hii ni habari jamani ? Halafu tukisema amenunua chama tutakuwa tumekosea ? Leo kuna asilimia za kutosha tu hata Mbowe, Myika, Lissu wameenda matembezi ya jioni mbona hamjawaandika na kutuonesha picha ?
 
Yupo vacation na wajukuu wake hio raha tosha kwa babu kuwa na wajukuu zake. tusiifanye siasa kujenga chuki mpaka maisha ya kawaida.
vacation gani vumbi tupu,au ameenda kutambika kama alivyoelekezwa na mganga wake TB Joshua
 
sidhani kama kuna mtu anampenda lowasa kwa namana unavyoongea wewe. watu walikuwa na matumaini kuboresha nchi ya Tanzania kusiwe na ukosefu wa pesa na ajira kama ilivyo sasaivi.wewe ukiona una mawazo kichwani ya aina hiyo kwa wanajf wenzio,ujue wewe unatakiwa kutiliwa shaka.
Nitiliwa shaka kwa lipi? Kwa kutoa maoni yangu juu ya vitendo vyenu vya kuwa na mapenzi yakupitiliza kwa mwanaume mwenzenu.
 
Back
Top Bottom