Recent content by osiligibrainy

  1. osiligibrainy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: NBC Premier League | Young Africans 3-0 Coastal Union | Mkapa Stadium | YANGA BINGWA

    i love you Yanga[emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169]
  2. osiligibrainy

    JamiiForums Tanzania Nani ana taarifa ya Loliondo? Nasikia zimeanza kuchapwa

    moja ya kivutio kikubwa cha Ngorongoro ni ule uwepo wa wanyama na binadamu pale najaribu tuu kuwaza wakiondoka Wamasai itakuaje [emoji2356]
  3. osiligibrainy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni muda sasa umepita toka niachane na mpenzi wangu

    22 wadau msisahau😇😇😇😇
  4. osiligibrainy

    JamiiForums Tanzania Diaspora: Kumbe Freeman Mbowe kumsifia Rais Samia ni baada kufunguliwa Account zake za Fedha zilizokuwa zimefungwa

    ila kwa jinsi watanzania tulivyo ukijifanya kiherehere wa kutetea utakufa si wewe peke yako na kikazi chako hakuna wakusimama kukupigania walifungwa,wengine wamepotea wengine walipigwa risasi hakuna aliyeonenyesha nia ya dhati ya kuhoji haya, wanaishia mitandaoni na vijiwe vya kahawa tuu ,mfano...
  5. osiligibrainy

    JamiiForums Tanzania “Mwanyamala kwa wahaya” ni zaidi ya Sodoma na Gomora!

    ni short unataka connection 👍👍
  6. osiligibrainy

    JamiiForums Tanzania Dar: Amuua mkewe kwa kitu chenye ncha kali, atokomea kusikojulikana

    tupendane tuu jamani kosa kubwa ni kuishi wawili msiopendana upendo unaotoka upande mmoja ni hatari sana
  7. osiligibrainy

    JamiiForums Tanzania Kimara: Dada wa kazi adaiwa kumnyonga mtoto wa miaka 8

    hapo kwenye shida sijakuelewa...nadhani ukikaa na ndugu unapaswa umsaidie ili asiendelee kuwa tegemezi 🤨🤨🤨🤨
  8. osiligibrainy

    JamiiForums Tanzania Kimara: Dada wa kazi adaiwa kumnyonga mtoto wa miaka 8

    sasa huyo ndugu atakuwa anakaa tuu nyumbani asomi huyo,hafanyi kazi vip kuhusu maisha yake ya baadaye .....
  9. osiligibrainy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simulizi: Ulimwengu Ndotoni Mwangu

    [emoji120]
  10. osiligibrainy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simulizi: Ulimwengu Ndotoni Mwangu

    asante
  11. osiligibrainy

    JamiiForums Tanzania Mume wa Maunda Zoro ni mfano wa Wanaume wa hovyo wa Dar es Salaam

    duuuu hizi ndoa hizi jamani
  12. osiligibrainy

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Ashikiliwa na polisi kwa mauaji ya Mumewe

    jamani 22yrs kamuua 33yrs tena mwanaume kivip ?
  13. osiligibrainy

    JamiiForums Tanzania Natengeneza 30,000/= kwa Siku, niache kazi Serikalini?

    Usiache kazi mkuu kama umeoa hakikisha mkeo anajua kila kitu kuhusu hiyo biashara then mpe nafasi asimamie kuhusu kumweka ndugu hapana pia ,,naamini kupitia kazi yako ndo umeweza kufanya hiyo biashara ,,biashara mpka kusimama na kujua changamoto zake ni bahati tuu zinawatokea watu unaweza fanya...
Back
Top Bottom