Mbeya: Ashikiliwa na polisi kwa mauaji ya Mumewe

zile harakati za kuachana tu,nazo ni mtihani mkuu,hususani muwe na hazina yakutosha,ni balaa. mnaanza kuviziana nani anatangulia kukata kauli ya kumwacha mwenzie. Soln ni kuvumiliana pale inapostahili .ikishindikana ,ondoka kaa mbali nae!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mara nyingi ukishaona ndoa inakuwa na ugomvi wa mara kwa mara basi tegemea lolote kutokea na ni vizuri kuachana kwa kistaarabu mapema. Haya mauaji chanzo chake ni ugomvi tena pengine mdogo sana. Ngoja niseme kitu kimoja. Kwenye ndoa yoyote mwanamke anatakiwa kuwa mvumilivu na atumie busara kuliko mwanaume. Msione kama mimi ni mshabiki wa mfumo dume la. Hii ni nature ya ubinadamu tu kuwa mnapokuwa watu zaidi ya wawili, basi awepo mwenye turufu kubwa ya maamuzi kuliko mwengine. Ukienda hata nchi za Ulaya wanazosema haki za wanawake ziko juu sana bado utakuta wanaume ndiyo viongozi wa nyumba.
 
Nadhani una bahati mbaya ya kukulia kwenye familia yenye ugomvi wa mara kwa mara. Au umepata bahati mbaya ya kuwa na mwenza msiyeelewana. Kuna familia nyingi tu zinaishi kwa amani mustarehe mpaka mtu unaona usipokuwa kwenye ndoa umekosa kitu muhimu sana.
Mkuu nimesema hivo kutokana na matukio ya siku hizi wanandoa kuuana
 
Back
Top Bottom