Msimu huu utopolo makombe yao yote ni makondo kando. Walianza kwenye ngao ya hisani ni makando kando, nusu fainali ya Azam ni makando kando hata wakibeba hilo kombe ni kwavile kaingia kimchongo fainali. Hili la ligi kuu nalo ni makando kando vile vileUtopolo mbona kumepoa hivi? Inaonekana ni ubingwa wa makandokando huu. Yaani kurasa 7 tu hadi sasa!!?
Si kweli coast walikaza sana hasa 1st half..kuna mkubwa mmoja wa Utopolo anaeifadhili pia Coastal kaweka hela Coast wauze mechi ili mtawazwe kua mabingwa leo hii.
Utopolo ni Utopolo tu.
Simba walituuzia shingapi ile mechi ya mwanzamtapotezaje mechi wakati mnasambaza bahasha!
Wamejaribu kuzima kiki kwa yule Phiri sijui Piripiri lakini wapiLeo tumetetema vyakutosha
Ila upande wa pili wametetemeka
😅😅 Manake ncheke mie. LolHalafu utakuta mida hii bado kuna mshabiki wa Simba bado yuko Macho kodo
Hebu laleni huko, Pumzisheni Fuvu Wananchi tuna jambo letu muhimu la kitaifa!
We are the Champions of NBC PREMEIER LEAGUE 2021/2022!
Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app
Kaka naomba niitie wale kina naniliu hebu. 😂😂😂Wamejaribu kuzima kiki kwa yule Phiri sijui Piripiri lakini wapi
Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app
Ila we jamaa 🤣🤣🤣Huyu benzema bwana
Katoka kuchukua uefa juzi tu,leo tena kaja yanga anajiita mayele..
Benzema vua mask tumeshakujua
Kule mwanza na nyie makolo mlilipwa ngapi kuruhusu goli la bwana feisalkuna mkubwa mmoja wa Utopolo anaeifadhili pia Coastal kaweka hela Coast wauze mechi ili mtawazwe kua mabingwa leo hii.
Utopolo ni Utopolo tu.