Recent content by Onenge

  1. Onenge

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Aliondoka mapema sana tena bure
  2. Onenge

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    PSG wameshinda uwanjani na penati pia wameshinda,walijiandaa vya kutosha,hongera kwao
  3. Onenge

    JamiiForums Tanzania Full Time UEFA Final: PSG 1 -1 Arsenal - Puskás Arena | May 30, 2026 - Baada ya Penati PSG anaibuka Bingwa (4-3)

    Bora ile fainali ya 2006, Wenger alijitahidi
  4. Onenge

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Amepanga line up ya kijinga
  5. Onenge

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    England itachukua world cup
  6. Onenge

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Arsenal wamejitahidi sana pamoja na kucheza mechi nyingi bado tumeshinda,westham bora washuke daraja
  7. Onenge

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Bora hata Wenga,timu inacheza hovyo sana
  8. Onenge

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kweli jamaa ni mbaguzi sana,Parteyaliondoka bure,kwenye game mbili za mwisho tumepoteza point tano
  9. Onenge

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Angesajili hata kiungo,Zubamendi hakuna kitu
  10. Onenge

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kumbuka Partey aliondoka bure,game ya leo alihitajika sana,ikifika december ubingwa tutasahau
  11. Onenge

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hatuna kiungo mkabaji,tutateseka sana msimu huu
  12. Onenge

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Unafikiri hata kama arsenal ataruhusiwa kusajili leo atasajili?
  13. Onenge

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hatuna kocha,hatujawahi kushinda Partey akianza kama beki,na anaendelea kumchezesha huyu mpuuzi
  14. Onenge

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Wachezaji wetu wanapewa red card za kijinga,ni ngumu kuchukua ubingwa kwa style hii
  15. Onenge

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Amefanya jambo la kitoto mno
Back
Top Bottom