3-21-1
Unataka arsenal tushinde kwa ushindi wa goal ngap?
Mkuu haya matokeo ya hawa Kondoo yanaenda kumuamsha kipara aanze kugawa dozi ipasavyo.Tangu mwanzo mwa raundi ya pili mnaonekana mna shida, hata ushindi wenu ni papatu papatu....... City angekuwa serious ungekuta anaongoza ligi, sema nae msimu huu amepoteana .......
Hio ndio pona yenu ....wapinzani wenu wote ni viande, hawana jiipya
Sioni kipara akiwasha moto masta.... watu walishamsomea, ukikamata haaland kwisha habari ! Sio enzi za kina sergio, toure, silva, mahrez ,kdb goli linatoka angle yoyote yani ! Sasa hivi kuna kina doku, sijui savinho, marmoush wanaruka ruka tuMkuu haya matokeo ya hawa Kondoo yanaenda kumuamsha kipara aanze kugawa dozi ipasavyo.
Vp Huko mkuu 😂Jiandaeni kupigwa na kitu kizito kichwani mpaka mzimie
Game imeisha?Sioni kipara akiwasha moto masta.... watu walishamsomea, ukikamata haaland kwisha habari ! Sio enzi za kina sergio, toure, silva, mahrez ,kdb goli linatoka angle yoyote yani ! Sasa hivi kuna kina doku, sijui savinho, marmoush wanaruka ruka tu
Bwashee watu wamelala na viatu..... ! Kuna mahali nipo wacha niupe mwili lolote jambo, walau kamdudu na kitu cha baridiGame imeisha?
Bado tupo kuwakaanga 😂Friends of Bournemouth tumeshafika eneo la tukio 😂
Hii Picha RICE kama vile mama mjamzito anatapikaChizi hata aende mbali vipi lazma atarudi na makopoView attachment 3570975