Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

.
5629421.jpg
 
Kuna trend ipo kwenye mpira. Kama unafuatilia na habari unaweza kua umeigundua.

Utakuta labda mchezaji anasifiwa wiki nzima kwa kuscore, kisha siku ya mechi anazingua.

Anasifiwa kiungo kwa pasi na defense siku moja kabla ya mechi siku mechi inachezwa anakua uchochoro.

Kuanzia wiki iliyopita walikua wanataja timu ambazo hazijapoteza games kipindi kirefu.

Ilikuepo Liver, Bayern na Arsenal. Bayern katika kusapoti hili wakapost kikosi na kusema "Chill team, haijapoteza mchezo"

Kisha Augsburg happened.

Liverpool ikabomb kwa Bournemouth.

Na Arsenal tupo leo na United.
Kitu nilisema
 
Kuna theory inasema "ni rahisi sana kuchukua point kwa nyumbu kuliko timu iliyo kwenye hatari ya kushuka daraja"

Man city amepoteza points 3 kwa nyumbu na leo yupo uwanjani na timu iliyo mkiani

Soma tena aya ya kwanza then unganisha dots aya ya kwanza na ya pili.

NB
Kesho Arsenal tupo na nyumbu
😁
 
Angesajili hata kiungo,Zubamendi hakuna kitu
Nina wasiwasi na Arteta na ubaguzi wa wachezaji kutoka Africa
Yeye na Guadiola wana ubaguzi na wachezaji wa Africa
Zubimendi hawezi kuwa replacement ya Partey halafu forward butu sana hakuna shoot na ni uchezaji wa Spain sio UK
Kwa sasa hivi Arsenal warudi kwa Mourinho ndio nafasi ya kupata ubingwa sio kwa Arteta
 
Back
Top Bottom